spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 7,557
- 20,477
Umeanza vizuri mwisho umeleta stori za alinacha1. Jamaa ana sauti ambayo kwa kizazi cha sasa ni ngumu kuipata.
2. Anamiliki jukwaa hasa, kama kuna mtu umewahi kumuona anamiliki jukwaa vizuri ktk show, basi elewa hajafika nusu ya michael jackson.
3. Alianza kutoa video dongo zenye kuvutia toka miaka 80 na 90 na mwanzoni mwa 2000. Katafute video zake uone.
Mwisho kabisa, alikuwa na spiritual power nyuma yake, alitengenezwa kuzimuni awe vile alivyokuwa, so sio rahisi mtu kushindana nae. Alianza kutumikia masonic toka akiwa kijana mdogo, alisambaza ishu za kubadili rangi ulimwengu mzima, akaja watoto wa kupandikiza, akaja ishu ya kubadili jinsia.
Mambo yote mazito ya kipepo walianza kumtumia yeye kuwa kama mjumbe wake. Achana na zile ngonjera sijui alibadili dini, zote zile bado alikuwa ktk mission ya masonic.
Apumzike huko anakostahili kupumzishwa.
MJ had vitiligo (skin condition) ambayo unapata white patches due to loss of melanin pigment