Kavirondo
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 751
- 1,605
nimemuuliza mhusika kwa kusudi..Ingia you tube andika the wealth of Michael Jackson.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nimemuuliza mhusika kwa kusudi..Ingia you tube andika the wealth of Michael Jackson.
Umemaliza1. Jamaa ana sauti ambayo kwa kizazi cha sasa ni ngumu kuipata.
2. Anamiliki jukwaa hasa, kama kuna mtu umewahi kumuona anamiliki jukwaa vizuri ktk show, basi elewa hajafika nusu ya michael jackson.
3. Alianza kutoa video dongo zenye kuvutia toka miaka 80 na 90 na mwanzoni mwa 2000. Katafute video zake uone.
Mwisho kabisa, alikuwa na spiritual power nyuma yake, alitengenezwa kuzimuni awe vile alivyokuwa, so sio rahisi mtu kushindana nae. Alianza kutumikia masonic toka akiwa kijana mdogo, alisambaza ishu za kubadili rangi ulimwengu mzima, akaja watoto wa kupandikiza, akaja ishu ya kubadili jinsia.
Mambo yote mazito ya kipepo walianza kumtumia yeye kuwa kama mjumbe wake. Achana na zile ngonjera sijui alibadili dini, zote zile bado alikuwa ktk mission ya masonic.
Apumzike huko anakostahili kupumzishwa.
Hivi hata unakijua ulichokiuliza kweli?Za jioni ndugu zangu, kwema?
Michael Jackson enzi za uhai wake alikuwa msanii maarufu na tajiri kuliko msanii yeyote hapa duniani.
Lakini pamoja na hizo sifa mbili kubwa nilizozitaja, kwangu mimi naona kuwa jamaa alibebwa na nyota tu kama ilivyo kwa Diamond, ila kiuimbaji au utungaji jamaa hakuwa anatunga au kuimba nyimbo zozote za maana.
Em fikiria Michael Jackson alikuwa na uwezo gani wa kutunga nyimbo nzuri na za maana kushinda wasanii kama Lionel Richie, Steven Wonder, Phil Collins, au mademu kama vile Whitney Houston, Celine Dion, Shania Twain nk.
Labda aliwashinda kwenye kucheza kama vile kusimamia kucha, kuteleza sakafuni, mabreka nk. Lakini kwenye tungo iwe za mapenzi, kijamii nk Michael alikuwa mweupe tu kama ilivyo kwa Diamond kuonekana anajua na kupata umaarufu wa ndani na nje zaidi ya wakongwe wa mziki kama vile kina Nature, Afande Sele, Kiba, Barnaba na wakongwe wengine mbali mbali.
Sijajua hili linatokana na nyota kweli au kuna namna tu media zinaamua kukubeba kwa lengo fulani.
Kwa kweli mpaka sasa sijauelewa mziki au wimbo uliomfanya Michael Jackson apendwe na kuitwa mfalme. Mwenye uelewa zaidi wa nyimbo zake aje atuambie.
Acha kujibeba mkuu we bado ni mweupe sanaa jipe muda kamchambue vzr MJAmna mkuu mimi wa kitambo ndio maana nimewataja wengine wa kitambo hapo kwenye list.
Amsha ubongo wako naona bado umelalaKabahatisha bahatisha tu vi nyimbo viwili vitatu. Lakini nyingi ni utumbo mtupu.
Aahaa! Kumbe alikuwa na manguvu ya Giza ya kipekee lasivyo nilitaka kukuuliza kama lucky dube ajafika hata hiyo nusu ya huyo jackson kuanzia kwenye tungo nzito zinazo eleweka,mpangilio wa vyombo mpaka juu jukwaani1. Jamaa ana sauti ambayo kwa kizazi cha sasa ni ngumu kuipata.
2. Anamiliki jukwaa hasa, kama kuna mtu umewahi kumuona anamiliki jukwaa vizuri ktk show, basi elewa hajafika nusu ya michael jackson.
3. Alianza kutoa video dongo zenye kuvutia toka miaka 80 na 90 na mwanzoni mwa 2000. Katafute video zake uone.
Mwisho kabisa, alikuwa na spiritual power nyuma yake, alitengenezwa kuzimuni awe vile alivyokuwa, so sio rahisi mtu kushindana nae. Alianza kutumikia masonic toka akiwa kijana mdogo, alisambaza ishu za kubadili rangi ulimwengu mzima, akaja watoto wa kupandikiza, akaja ishu ya kubadili jinsia.
Mambo yote mazito ya kipepo walianza kumtumia yeye kuwa kama mjumbe wake. Achana na zile ngonjera sijui alibadili dini, zote zile bado alikuwa ktk mission ya masonic.
Apumzike huko anakostahili kupumzishwa.
Wewe unaelewa kiingereza au ulisoma tu lyrics zake na kukariri?itakuwa ulikuwa hauelewi kingredha maana anaSleng sana, mwanamuziki wangu pendwa miaka yote, ninamiliki album zake zote
Billie jean"We Are the World"
"I Just Can't Stop Loving You
"Bad"
"Say Say Say"
You are not alone
Heal the World
Real?????unasema MJ hajui kuandika unajua hizo nyimbo??
Hiyo ya mwisho tu Heal the world ni nyimbo nzuri sana MJ anasema
There's a place in your heart
And I know that it is love
And this place it was brighter than tomorrow
And if you really try
You'll find there's no need to cry
In this place you'll feel there's no hurt or sorrow
There are ways to get there
If you care enough for the living
Make a little space
Make a better place
Umevuta nini wewe?Za jioni ndugu zangu, kwema?
Michael Jackson enzi za uhai wake alikuwa msanii maarufu na tajiri kuliko msanii yeyote hapa duniani.
Lakini pamoja na hizo sifa mbili kubwa nilizozitaja, kwangu mimi naona kuwa jamaa alibebwa na nyota tu kama ilivyo kwa Diamond, ila kiuimbaji au utungaji jamaa hakuwa anatunga au kuimba nyimbo zozote za maana.
Em fikiria Michael Jackson alikuwa na uwezo gani wa kutunga nyimbo nzuri na za maana kushinda wasanii kama Lionel Richie, Steven Wonder, Phil Collins, au mademu kama vile Whitney Houston, Celine Dion, Shania Twain nk.
Labda aliwashinda kwenye kucheza kama vile kusimamia kucha, kuteleza sakafuni, mabreka nk. Lakini kwenye tungo iwe za mapenzi, kijamii nk Michael alikuwa mweupe tu kama ilivyo kwa Diamond kuonekana anajua na kupata umaarufu wa ndani na nje zaidi ya wakongwe wa mziki kama vile kina Nature, Afande Sele, Kiba, Barnaba na wakongwe wengine mbali mbali.
Sijajua hili linatokana na nyota kweli au kuna namna tu media zinaamua kukubeba kwa lengo fulani.
Kwa kweli mpaka sasa sijauelewa mziki au wimbo uliomfanya Michael Jackson apendwe na kuitwa mfalme. Mwenye uelewa zaidi wa nyimbo zake aje atuambie.
Sauti iliyojawa mvuto,Uwezo wa kutawala jukwaa kwa kuzicheza zaidi ya stlye 10 ni moja ya vigezo vinavyomtofautisha MJ na wasanii wengine hasa uliowataja na for sure gakuna kati yao anayemfikia hata kwa 25% MJEm fikiria Michael Jackson alikuwa na uwezo gani wa kutunga nyimbo nzuri na za maana kushinda wasanii kama Lionel Richie, Steven Wonder, Phil Collins, au mademu kama vile Whitney Houston, Celine Dion, Shania Twain nk