Ni nani aliyewahi kuuelewa muziki wa Michael Jackson?

Umeanza vizuri mwisho umeleta stori za alinacha
MJ had vitiligo (skin condition) ambayo unapata white patches due to loss of melanin pigment
 
Michael Jackson huyu huyu acha bana ile ilikuwa ni mashine, unajua kuwa mwanzilishi wa kitu watu dunia wakawa wanafanya sio mchezo, cheki Chris brown style zake anazocheza nyingi ni za jamaa MJ
 
Hivi vitabu tunavijua kwa exaggeration .

Hivi umaskini wa kushindwa kununua nepi unaufahamu mkuu?

Kwamba ule mkataba wa shows 50 (This is it)alikuwa anajitolea ?

Kuna mambo yakisemwa lazima na wewe ujiongeze, yaani mtu asaini shows 50 halafu ashindwe kuafford kununua nepi kweli...!
 
Umefanya nikisilize human nature arafu nijiulize umetoa wapi mamraka yakusema wako jacko hamna kitu
 
Hao jamaa hawana sababu ya kudanganya,kitabu kimeandikwa na bodyguards wake mwenyewe, ule mkataba MJ hakupata pesa, kuna kitu nimekuwa nikiandika hamkielewi

Jamaa pesa yake ilienda kulipa madeni,alikufa hana pesa, hata usipoamini kitabu basi soma source nyingine, jamaa alikuwa na maisha tofauti ya tuliyodhani, hata chupi kuna siku zimemuishia akawatumq jamaa wamnulie maana yeye hakuweza kwenda

Ni vyema mkisoma hiko kitabu Mkuu au source yoyote mnayoamini yenye biography yake, zilipotoka iphones kwq mara ya kwanza alimtumq bodyguard akapange foleni kununua (i phone mpya ikitoka hua ni hivo)

Sasa bodyguard akaja na iphone,Ikataka MJ aweke namba za card yake ya Bank ila alipoweka ikagoma coz hana pesa hivo aliweka number za bodyguard

Tatizo mmehisi nimesema kila siku hakuwa na pesa,ni sometimes,na alipokuwa nazo alinunua vitu vingi na sometimes aligawa zote na zikaisha
 
Kabahatisha bahatisha tu vi nyimbo viwili vitatu. Lakini nyingi ni utumbo mtupu.
Dah mwanangu unazingua kinyama. Nyimbo nyingi za MJ zinabariki sana. Heal the world,man in the mirror, black or white,earth song,beat it.. mzee MJ muache hebu kafatilie lyrics na melody tamu mule.. ila ukiita ngoma za MJ utumbo unatka nikutusi tu.. BTW una miaka mingap?
 
Umezaliwa lini?
 
Ana mengi ya kuzungumziwa huyu mwamba jua hivyo tuu.

Ila ulicho andika hapo juu ni matusi matupu juu ya MJ.
 
Kwanini walimwondoa mapema? Kwanini kuzimuni mwishoni hugombana na mawakala wao mfano rkelly na kanye? Why watu wao huishia vibaya?
 
Sio huo wa kushindwa kununua hadi nepi sasa[emoji1].

Kwamba hao bodyguards waliokuwa wanamsponsor walikuwa na mitikasi ya kuwaingizia hela kuliko zile walizokuwa wanapata kwa MJ, kwanini walipoteza muda wao?

Hizi ni story.
 
Umeanza vizuri umeharibu mwishoni, hayo mambo ya freemason ni conspiracy tu. MJ amekua anaimba tokea akiwa mtoto kwenye Jackson 5 na kipaji kikaonekana Cha kushangaza akifanikiwa eti masonic!!!

Tupunguze ujuaji Kwenye mziki na michezo Cha msingi ni kipaji na branding/usimamizi basi ila hayo ya masonic ni story tu. Ingekua hivo basi Hawa wasanii wetu wanaokesha kwa waganga wangekua wameshinda Grammy tayari.
 
Jamaa amekufa like jumba lake likaanza kuuzwa na familia inamaan hap akose hela ya nepi kwl
 
naomba kuuliza,baada ya kufariki..Aliwaachia nini familia..?Kuanzia mama yake mpk wanae watatu
 
Watoto wa kibongo bhana ,yaan mmechoka akili.Ukianza kumjadili mtu kuhusu mziki wake ,chambua ukianza kutoa mfano wa mziki wake.Uimbaji wake ,vina vyake.Lakin usianze kujadili na kumpinga bingwa wa pop huku ukiwa haujui hata mziki mmoja wa bingwa huyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…