Ni nani aliyewahi kuuelewa muziki wa Michael Jackson?

Hiki kizazi cha singeli kina shida sana...kizazi cha singeli kinachambua muziki wa "the wacko jacko"
 
Umemaliza
 
Hivi hata unakijua ulichokiuliza kweli?
 
Aahaa! Kumbe alikuwa na manguvu ya Giza ya kipekee lasivyo nilitaka kukuuliza kama lucky dube ajafika hata hiyo nusu ya huyo jackson kuanzia kwenye tungo nzito zinazo eleweka,mpangilio wa vyombo mpaka juu jukwaani
 
itakuwa ulikuwa hauelewi kingredha maana anaSleng sana, mwanamuziki wangu pendwa miaka yote, ninamiliki album zake zote
 
Billie jean
They don't care about us
Dont sop till you get enough
You rock my world
Smooth criminal
 
Umevuta nini wewe?
 
Nipo sehemu sasahivi wanapiga you rock my world halafu huyu kenge analeta pigo gani sijui na mada yake ya kisengerema
 
Em fikiria Michael Jackson alikuwa na uwezo gani wa kutunga nyimbo nzuri na za maana kushinda wasanii kama Lionel Richie, Steven Wonder, Phil Collins, au mademu kama vile Whitney Houston, Celine Dion, Shania Twain nk
Sauti iliyojawa mvuto,Uwezo wa kutawala jukwaa kwa kuzicheza zaidi ya stlye 10 ni moja ya vigezo vinavyomtofautisha MJ na wasanii wengine hasa uliowataja na for sure gakuna kati yao anayemfikia hata kwa 25% MJ
Alikuwa na uwezo kubwa sana wa kutunga dancibg style na kuzimudu, mfano ya style hizo ni kama;
  • Anti-gravity lean. ...
  • Crotch grab
  • Circle slide. ...
  • Side slide. ...
  • The MJ spin. ...
  • The kick. ...
  • Toe stand. ...
  • The robot.
  • Moon walker
  • Nk..
Style hizi ni moja ya mtindo ya kucheza ambayo hadi ss inafanywa lkn kiukweli mwanzilishi ni MJ na wengi wanafanya lkn wa kumuenzi hapa ni MJ.

Rest in Paradise the Wacko Jacko!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…