Ni nani aliyewahi kuuelewa muziki wa Michael Jackson?

MJ anatajwa kama Vocalist bora kupata Kutokea, uwezo wake sio tu Kucheza bali kuimba pia.

Pia hao uliowataja wengi waimba nyimbo Za mapenzi labda kwako kuimba ni nyimbo za mapenzi tu.

Sikiliza acapella ya Earth hapo hakuna miziki, hakuna kinanda hakuna Auto tune ni kipaji tu

View: https://m.youtube.com/watch?v=nr4qP2WjyCc&pp=ygUaTWljaGFlIGphY2tzb24gRWFydGggdm9jYWw%3D
 
Umemjibu vyema kabisa, huenda yeye ndiyo asiyeelewa mziki tatizo hasikilizi😂

Ivi anaijua Liberian girl huyu, anaijua thriller, anajua belie Jean?

Michael Jackson alikuwa msanii haswa creativity yake ni kubwa hata huyo diamond wa leo unayemuona asilimia 80 ni Michael, Chris brown, usher Rymond, neyo, Jason derulo, P square wote hao ni Michael Jackson’s products.

Michael is the king of entertainment and pop.
Ukipenda burudani Michael ndy burudani yenyewe.
 
Reactions: K11
Lazma mumuite mason sababu alikuwa ni extraordinary, super creative kwenye music wake, ila practice make perfect, he was started to join in the music at age five, maisha yake yote alikuwa ni music, so he was a master of music, dancing, and video production.

Tusiamini sana kwenye satanic ways.
He was a master kama alivyokuweko pelé kwenye soka.
Hakuna uchawi ni uwezo na talent tu.
 
Huyu Fala aliyeleta hii thread bado ana exist?bichwa maji?
Niliposoma huu uzi kwa mara ya kwanza nilikwenda kufunga siku 40 kumuombea akili zake zirudi sawa. Maana ni mtu aliyerukwa akili tu ndie anaweza kuja na uzi wa kitakataka namna hii.
 
Tukiwa form 1, tulikuwa ngo tunauimba huo wimbo kwenye madarasa ya muziki
 
Unajua nini wewe dogo.embu uliza kama kuna album imewahi kuipita kimauzo album ya thriller toka kuwekwa kwa misingi ya dunia.Halafu hujui hata Michael alikuwa anaimba genre ipi ya mziki.Michael alikuwa anaimba pop ndio maan walimuita mfalme wa pop kama ilivyokuwa Tupac na Big walivyokuwa waqdhaniwa mmoja wao ni mfame wa hip hop
 
Dangerous
Thriller
Who is it
Strange in Moscow
Liberia girl(nakutaka pia nakupenda pia mpenzi wee)
The man in the mirror
Bill Jean
Who is watching me
Beat it
Black or white
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…