Ni nani aliyewahi kuuelewa muziki wa Michael Jackson?

Tafuta makala mbalimbali kumhusu ndo utagundua hakuwa binadamu wa kawaida.

He was talented and The King of Pop Music
 
Hii imemaliza kila kitu

Anayebisha autazame mwisho wa MJ ulivuokuwa, label kubwa zote zilimkataa akasaidiwa na AKON pale Convikt, track aliyotoa ile Hold my Hand aliimna kwa sauti tamu ileile lakini mapokezi yakawa sio makubwa...

Mwisho ndio tunaambiwa dokta akamuovadozi
 
Kuna ile show yake ya smooth criminal. Yule jamaa alikuwa hatari. Laiti dunia ingeamka ktk mziki kipindi kile kama kizazi hiki hakika yule jamaa angekuwa tajiri wa mziki kuwahi kutokea.
 
Yaan ni vile tu niliacha kusikiliza muziki. Ila huu ni moja kati ya nyimbo zake kali sana ambazo nilikuwa sizichoki.

Halafu kuna HUMAN NATURE pia, na hapa unakutana na producer wangu bora wa muda wote QUINCY JONES.
 
Nilivoona hio tu nikajua wewe mtoto wa juzi.

Yaan unamuita Celine 'demu' hadi Shania Twain unamuita 'demu'. Aisee katubu hio dhambi chief. Umetokosea sana washabiki wa aina hio ya miziki
[emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji122][emoji122][emoji122]
 
 
Kasikilize heal the world halafu urudi hapa
 
Acha kusikiliza singeli, ukiacha rudi tena kasikilize wimbo wowote wa hayati Michael Jackson, baadhi ya nyimbo hizo ni Human Nature, Liberian Girl, Slave To Rythm, Black or White, Bad, Stranger in Moscow, Billie Jean, Don't stop till you get enough, thriller, You are not alone, Will you be there e.t.c

Jitahidi unavyoanzisha thread hata kama haulipii utumie akili kuwasilisha unachotaka na sio kuja bila mpangilio. Yangu ni hayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…