Ni nani aliyewahi kuuelewa muziki wa Michael Jackson?

Ni nani aliyewahi kuuelewa muziki wa Michael Jackson?

That will be Michael Jackson

The wacko Jacko
Kwangu ni huyu.
1674191572393.png

=
 
1. Jamaa ana sauti ambayo kwa kizazi cha sasa ni ngumu kuipata.

2. Anamiliki jukwaa hasa, kama kuna mtu umewahi kumuona anamilili jukwaa vizuri ktk show, basi elewa hajafika nusu ya michael jackson.

3. Alianza kutoa video dongo zenye kuvutia toka miaka 80 na 90 na mwanzoni mwa 2000. Katafute video zake uone.

Mwisho kabisa, alikuwa na spiritual power nyuma yake, alitengenezwa kuzimuni awe vile alivyokuwa, so sio rahisi mtu kushindana nae. Alianza kutumia masonic toka akiwa kijana mdogo, alisambaza ishu za kubadili rangi ulimwengu mzima, akaja watoto wa kupandikiza, akaja ishu ya kubadili jinsia.

Mambo yote mazito ya kipepo walianza kumtumia yeye kuwa kama mjumbe wake. Achana na zile ngonjera sijui alibadili dini, zote zile bado alikuwa ktk mission ya masonic.

Apumzike huko anakostahili kupumzishwa.
Michael star power yake ilikuwa kwenye humanitarian works, jamaa alikuwa anajitoa sana kwenye kazi za jamii na ile love yake kwa watoto, ilifanya watu wampende zaidi

Pia alikuwa na sweet personality na hii ndio sababu kubwa alimshinda mpinzani wake prince kwa sababu hakuwa likable. Sikiliza interviews zake utanielewa, he was a beast on stage but very innocent and shy kwenye interviews, hakuwa na ile ego ya ustar

Kuna hizo controversies ulizosema za kubadili ngozi, watoto na mke lakini kubwa kuliko. Michael Jackson aliuishi umaarufu toka yupo mtoto mdogo kwenye bendi ya familia ya Jackson 5 ambayo ilitengenezwa strickly na baba yao aliyekuwa perfectionist. As a result MJ akawa ni mtu mwenye kipaji lakini disciplined pia

Hivyo, huwezi kumlinganisha na whitney lionel au hao wengine waliopata ustar ukubwani. MJ alikuwa star na peformer kabla hata hajafikia umri wa kujitambua
 
Nna nyimbo za kinq Hueston, , wakina , cool and the gang,
County nyung sana ila sio za huyo mjinga ulomtaja.
Hajui hata kdg
Comparing Michael with the musician of his era like Whitney Houston or Kool & The gang is totally unfair. Michael Jackson was on his own level, The level that other pop musicians will be taking a lot of coming years to achieve and perhaps most of them will never achieve at all.
Nna nyimbo za kinq Hueston, , wakina , cool and the gang,
By the way, Can you write the names of those musicians you mentioned above well. It will be good dude.
 
Kuna namna jamii forums wafanye kwamba mtu mwenye miaka chini ya 16 asiruhusiwe kupost wala ku comment,au kuwe na jukwaa liitwe watoto forum, kiduku forum or whatever..ila kutuchanganyia pumba na Mchele sio Fair...Liberian Girl issa my favorite
Hahahaa

Nakazia...
 
Back
Top Bottom