cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,077
- 46,549
Uchafu mbele ya utamu acha wewe. Bora niwe mchafu roho yangu iridhike
Mwanamke anaechepuka ni mchafu. Ila mwanaume anaechepuka anafanya dhambi. Mwanamke ameumbwa atulie ndo maana mwanamke ana wakati wake wa kunyegezika wakati sisi wanagangara tuko rede muda wote