Barieda
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 1,808
- 2,470
Sema kweli 😳😳😳😩😩😩😩Ni kweli bora usituamini sisi ni smart kuliko nyie sema tu wanaume wanatu undermine bure. Hata watoto kwenye familia wanaweza Kuwa na Baba watatu mkajua nyie ni ndugu. Tena tukichepuka tuna rudisha mahaba kama yote