Ni nani aliyewaruhusu wanawake kuchepuka?

Ni nani aliyewaruhusu wanawake kuchepuka?

Ni kweli bora usituamini sisi ni smart kuliko nyie sema tu wanaume wanatu undermine bure. Hata watoto kwenye familia wanaweza Kuwa na Baba watatu mkajua nyie ni ndugu. Tena tukichepuka tuna rudisha mahaba kama yote
Sema kweli 😳😳😳😩😩😩😩
 
True na usijiloge uchepuke mke ajue wewe atakigawa huyo mpaka basi hafu wewe wadhani kusahau kumbe
Lakini huwa mnafanya mkijua jamaa akijua ndoa hakuna tena, kwa hiyo huwa mnajitoa mhanga.
 
Hahaaaaa what's goes around comes back mkuu
Siku zote hutakiwi kushindana na mwanaume, ukimwona anaruka ukuta wee piga magoti umwombee aache hiyo tabia, na si vinginevyo atakuumiza kwa kipigo.
 
Aliyekwambia sisi tunaridhika na kibamia kimoja nani hafu nyie wanaume hutofautiana utaalamu Kuna wapiga katerero mpaka waweza zirai Kuna wansojua mambo had waweza zimia, sasa wewe jidaganye eti nani katuruhusu hata sie tu napenda kucheza viwanja tofauti tofauti.
Hata kweny bustani ya eden ni Hawa ndo alichepuka na nyoka we inazani ule ujuzi wa mema na mabaya ulikuwa upi kama hiyo kula tunda la katikati yaani apple [emoji519]
 
Yani nimuombee mtu mzima mwenye ndevu juu na chini Ili Iweje wakati ni maamuzi yake. Mi Nampa uhuru atajiju hata akifia papuchini it's up to him. Mie huku najipa raha mwenyewe.

Na sioni sababu ya yeye hata kunifinya sembuse kunipiga. Ooooh ghosh over my dead body no one has authority to beat me.
Siku zote hutakiwi kushindana na mwanaume, ukimwona anaruka ukuta wee piga magoti umwombee aache hiyo tabia, na si vinginevyo atakuumiza kwa kipigo.
 
Hata kweny bustani ya eden ni Hawa ndo alichepuka na nyoka we inazani ule ujuzi wa mema na mabaya ulikuwa upi kama hiyo kula tunda la katikati yaani apple [emoji519]
Nionyeshe andiko linalo onyesha Eva kuchepuka mkuu
 
Halafu wanafanya kusudi kutongoza wake za watu akisahau kuwa na mkewe anatongozwa.
Na sie ni binadamu ati, naanzaje kukataa kwa mfano.
**ukila vya watu jua na vyako vinaliwa maradufu.
Kama kawa kuliwe nami nala wake za watu wengine ngoma droo
 
Back
Top Bottom