Ah.. nlidhani mke kumbe demu? hyo inawezekana kuna demu mtu unakuwa nae tu alimradi mwanamke unaempenda huwezi fanya hvyo hujawahi na hakuna kidume wa kufanya hvyo hajazaliwa na hatokuja kuzaliwa ktk kitu kinatusumbua wanaume wivu yaani hpo tumekwama kiboko yetu cc kuchapiwa tu bc tunakuwa wanyongeeeeee!Hapana na feel fine kinoma bali alishangaa siku ya kwanza namuachia boksi la dume
Ni mke wangu mkuu ila naona kawaida sina hata wivu yaani normalAh.. nlidhani mke kumbe demu? hyo inawezekana kuna demu mtu unakuwa nae tu alimradi mwanamke unaempenda huwezi fanya hvyo hujawahi na hakuna kidume wa kufanya hvyo hajazaliwa na hatokuja kuzaliwa ktk kitu kinatusumbua wanaume wivu yaani hpo tumekwama kiboko yetu cc kuchapiwa tu bc tunakuwa wanyongeeeeee!
Haya mambo hata hayaeleweki. Ila sisi si tunachepuka na wasio olewa. Tena hatuchepuki ila tunawasaidia hudumaSasa mnataka mchepuke na nani wakati hamtaki wanawake wachepuke? Hamueleweki
Ekizakitili mkuuKuchepuka ni tabia ya mtu binafsi!! Haina jinsia . Hata hili la baadhi ya vitabu vya dini kubariki wanaume kufanya uchepukaji si sahihi. Mme moja mke moja ndiyo ndoa isiyo na mawaa wala migogoro. Mengine yote ni tamaa za kimwili
Juzi nimeongea na mwanamke moja, aliyekuja likizo toka Uarabuni anakofanya kazi za ndani. Anasema kule wanaume wanasali kwa niaba ya wake zao hata kama siku ya idi !!!!. Sasa andiko linalohimiza tenda hilo utasema limetoka kwa Mungu na ni halali ?!Ekizakitili mkuu
Njoo kwangu tumnyoshe huyo boyaHalafu wanafanya kusudi kutongoza wake za watu akisahau kuwa na mkewe anatongozwa.
Na sie ni binadamu ati, naanzaje kukataa kwa mfano.
**ukila vya watu jua na vyako vinaliwa maradufu.
Haya mambo hata hayaeleweki. Ila sisi si tunachepuka na wasio olewa. Tena hatuchepuki ila tunawasaidia huduma
Njoo kwangu tumnyoshe huyo boya
Uko wapi nikuitie uber mama[emoji23][emoji23]
Uko wapi nikuitie uber mama
WamempigiaHebu ngoja kwanza..vuta pumzi.
Ni nini kimetokea kwani?
Eti nini?Aliyekwambia sisi tunaridhika na kibamia kimoja nani hafu nyie wanaume hutofautiana utaalamu Kuna wapiga katerero mpaka waweza zirai Kuna wansojua mambo had waweza zimia, sasa wewe jidaganye eti nani katuruhusu hata sie tu napenda kucheza viwanja tofauti tofauti.
Gardem, nitakuwa huko mwezi ujao beiby! Lazma tuje kumnyoosha huyo ndezi hawezi kuchepuka mwenyewe aisee!Simiyu baby..
Ngoja nikuambie kuu kwanza sio kila mwanaume ni kicheche!Sio kweli. Mnachepuka na walioolewa tena mnawatongoza kupita maelezo, unategemea awe na uwezo wa kukataa kila mara? Hata yeye ni binadamu
Gardem, nitakuwa huko mwezi ujao beiby! Lazma tuje kumnyoosha huyo ndezi hawezi kuchepuka mwenyewe aisee!
Ngoja nikuambie kuu kwanza sio kila mwanaume ni kicheche!
Kuna watu wanakijua kitabu cha MUNGU vizuri mno kwa hio mambo ya uzinzi yako mbali na wao. Hakuna mtu wa MUNGU atakae tembea na mke wa mtu kwani anajua anajitaftia kifo! Hao manabii wa uongo wasiwadanganye kwa mtu anaejua maandiko hawezi tembea na mke wa mtu soma Methali 6:26-29 utanielewa huyo mtu wa Mungu mwenye akili timamu achepuke na mke wa mtu.
Kwa mwanaume mjanja atajiongeza ili ampe mkewe kile anachokihitaji kama hakipatikani basi huyo mke mwema atakubaliana na hali. Tatizo binadamu wamejaa tamaa sana na hawaridhiki na walivyonavyo... Pesa ni tatizo sana kwa kweli na ni chanzo cha maovu yote hapa duniani kwa inafikia mahali binadamu hawatahamini watu wao kwa sababu ya pesa na ndio umalaya uko huko... nimegundua wanawake wengi ni Malaya sio kwa sababu ya mahitaji ya ngono bali fedha na maisha ya starehe.
Mnasema wanaume tunatamani wanawake hilo ni kweli kwa sababu sisi ni dhaifu kwa wanawake, Wewe wajua namna wanawake wanavyopendezesha ulimwengu na pengine ukamtamani mwanamke mwenzako sasa vipi sisi wanaume?
Nategemea kwa mwanamke mwenye akili utajiongeza na ku copy na situation.
Kulingana na uwezo wa mtu wapo wanaotosheka na mke mmoja na wengine mke mmoja hawatoshi kabisa ndio maana wanaweka wazi kabisa kwa wake zao.
Nawashauri sana wanawake muacha tamaa za pesa ridhikeni na uwezo wa waume zenu.
Sikutetea uzinzi mkuu kwani ni dhambi hili lipo wazi!Umeongea mengi sana ambayo bado hayajaniingia. Ila nakujibu hapo chini ulipomalizia kuwa tuache tamaa ya pesa..sio kila mwanamke anayechepuka ana shida ya pesa,sababu zipo nyingi.
.
.
Sitetei uchepukaji ila ninachopinga ni vile mtu kuhalalisha uchepukaji wa mwanaume na kuona ni kosa kubwa kwa mwanamke.
Kwa imani yangu sidhani kama kuna utofauti wowote na sitaelewa hata iweje. Dhambi ni dhambi tu!