sanalii
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,639
- 5,767
Nimelipia online service moja lakini cha ajabu malipo yamekataliwa na kuambiwa kua IP Address niliotumia kufanya malipo iko katika range ya IP ambazo ziko black listed, na Tanzania iko blacklisted kutokana na constant abusive behaviour mtandaoni.
najiuliza, watanzania hawa hawa wanaokesha Tiktok na insta? Je ni ISP ndio wanachukua low quality IP?
najiuliza, watanzania hawa hawa wanaokesha Tiktok na insta? Je ni ISP ndio wanachukua low quality IP?