Ni nani analazimishwa kwenda kwenye mikutano ya CHADEMA?

Wachawi wakishazoea kubugia nyama za binadamu ni shida.Hata wapewe nini hawatotaka.Walishazoea kuona damu za watu,huzuni na sintofahamu nyingi.Wanapenda kurudi walipokuwa.Devils!
 
Kwa kweli hakuna anayelazimishwa na hao wanaolalamikia mikutano ya Chadema ni wajinga tuu kwasababu wanatishwa na nyomi!.
Wajinga hao hawajui nyomi ni nyomi na kura ni kura!, ingekuwa hizo nyomi ni kura, hapo ndio wangetishika!.
Just imagine nyomi kama hizi


, mimi niliamini Elections 2015 - Hii 'Vox Populi' ni 'Vox Dei' Kuhusu 'Jiwe Walilolikataa Waashi'? kumbe ni nyomi tuu!, hizo sio kura!.
P
 
Ukiona mtu anasema hivyo jua kuwa ni mnafiki na mnufaika wa maovu yote yaliyofanyika wakati wa Awamu ya tano.
 
Wachawi wakishazoea kubugia nyama za binadamu ni shida.Hata wapewe nini hawatotaka.Walishazoea kuona damu za watu,huzuni na sintofahamu nyingi.Wanapenda kurudi walipokuwa.Devils!
Hizo kombati na joto hili fangas zinastawi tu
Wewe ulishapona fungus zako?
 
Chadema na ACT na vyama Rafiki vya Ccm CCM kupitia maridhiano
 
ukiona mtu analeta hoja ya namna hio jua huyo ni sukuma gang au uvccm maana hao ndio wapumbavu pekee waliobaki nchi hii hao wakitoweka hakutakuwa na wapumbavu tena nchi hii ila usiwe na hofu kufikia 2025 tunaenda kuwafuta kabisa.
 
Kwani chadema bado IPO? Mbona tuliambiwa chadema haipo na ilisha kufa .
Kwani Chadema ile uliyoambiwa itakufa ingeweza kumualika Mwenyekiti wa Ccm kuwa Mgeni wa Heshma kwny shughuli za Chama Chao na Mwenyekiti huyo akajinadi kuwania Urais 2025 huku akiwaambia hajaona mtu serious wa kupambana nae nao wakawa wanashangilia ?

Chadema ya maridhiano ni kama ACT tu kule Visiwani mkwara Zito sana jioni wanahesabu mgao wa maridhiano
 
Na mmekwisha wote sukuma gang.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…