Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Kwa kweli hakuna anayelazimishwa na hao wanaolalamikia mikutano ya Chadema ni wajinga tuu kwasababu wanatishwa na nyomi!.
Wajinga hao hawajui nyomi ni nyomi na kura ni kura!, ingekuwa hizo nyomi ni kura, hapo ndio wangetishika!.
Just imagine nyomi kama hizi
View attachment 2550803View attachment 2550804View attachment 2550805View attachment 2550806View attachment 2550807View attachment 2550808View attachment 2550809View attachment 2550810View attachment 2550811
, mimi niliamini Elections 2015 - Hii 'Vox Populi' ni 'Vox Dei' Kuhusu 'Jiwe Walilolikataa Waashi'? kumbe ni nyomi tuu!, hizo sio kura!.
P
Ni kweli kabisa, maana Tanzania mshindi hapatikani kwa kura, bali genge liitwalo system ndio huamua nani atangazwe mshindi. Ndio maana nasema Tanzania hakuna uchaguzi, bali kuna maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Machafuko tu ndio yatafanya box la kura kuheshimiwa.