Ni nani analazimishwa kwenda kwenye mikutano ya CHADEMA?


Ni kweli kabisa, maana Tanzania mshindi hapatikani kwa kura, bali genge liitwalo system ndio huamua nani atangazwe mshindi. Ndio maana nasema Tanzania hakuna uchaguzi, bali kuna maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Machafuko tu ndio yatafanya box la kura kuheshimiwa.
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…hakuna malori wala ma tela yankuwabeba
 
Mmmmh! Mmmmh!πŸ™„πŸ™„

Nyiee CHADEMA, This is too much...!!!

Na hivi nyie CHADEMA huwa mnatoa nini kwa umati mkubwa wa watu kiasi hiki kuja kwenye mikutano yenu?

CCM kwa kweli wanastahili kutishika na kuogopa...!!

Jiwe alikuwa sahihi kuwapiga ban kumbe. Lazima aogope tu kwa umati mkubwa kama huu..
 
Labuda hukuwepo ndio maana huujui ukweli VINGINEVYO unajitoa ufahamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…