Ni nani analitambulisha taifa kwa kasi zaidi kati ya Samatta, Alikiba na Diamond

Ni nani analitambulisha taifa kwa kasi zaidi kati ya Samatta, Alikiba na Diamond

duuu
Nenda kwenye mitandao yakijamii angalia yule mwenye followers wengi zaid huyo ndiye
kwahiyo diamond kuwazid p.squire na neyo followers unaweza sema diamond ni most celebrites kuliko hao
 
duuu

kwahiyo diamond kuwazid p.squire na neyo followers unaweza sema diamond ni most celebrites kuliko hao

Kwan umemtaja Ne-Yo Hapo?
Hapo kataja wabongo
P~ square nao wabongo
Pliz kama unatumia viroba nenda central
 
Kwa sasa Tanzania tuna vipaji mbalimbali katika sekta za michezo. Je, kati ya Samatta,Kiba na Diamond, nani ni zaidi katika jamii,kuitambulisha nchi kimataifa na nani ni maarufu sana hapa bongo?

Kwa mujibu wa Google, anaanza Diamond Platnumz, anafuatia Ali Kiba, kisha Mbwana Samatta na mwisho ni Hasheem Thabeet (nimeongezea baada ya kuona kuna mtu kamtaja kwenye uzi).

chibu1.png

chibu2.png

kiba1.png

kiba3.png
samatta.png

samatta3.png
thabeet1.png
thabeet2.png
 
Kiba: Hoya mondi unamsikia huyu jamaa eti haoni mchango wangu kimataifa
Mondi: 🙂🙂🙂 hajielewi huyo hajui kuwa wewe ni mkubwa kuliko tuzo?

6.png
 
Kwa sasa Tanzania tuna vipaji mbalimbali katika sekta za michezo. Je, kati ya Samatta,Kiba na Diamond, nani ni zaidi katika jamii,kuitambulisha nchi kimataifa na nani ni maarufu sana hapa bongo?
Kuitambulisha nchi katika Tasnia ipi..?
 
Acha utani bwana, wengine wanatambulishwa na followers kwenye social networks wakati Samatta anafanya mambo serious!
 
Back
Top Bottom