Ni nani analitambulisha taifa kwa kasi zaidi kati ya Samatta, Alikiba na Diamond

Ni nani analitambulisha taifa kwa kasi zaidi kati ya Samatta, Alikiba na Diamond

Kama ulivyoandika tu ndivyo ilivyo ni samatta kisha Kiba alafu huko mwishooo ndio Diamond
 
Chibu Dangote
@diamondplatnumz

Kwanza sina tatizo na Ali, na Namfahamu kabla sijaanza kazi zangu za mziki, hata madancer wangu kabla sijatoka walitumika kwenye video yake

Chibu Dangote
@diamondplatnumz
7h
Na wasafi dot com inaruhusu kabisa kuuza kazi zake, na italeta picha nzuri, na nishakutana nae Nairobi tuliongea kila mtu aliyokuwa nayo
Nadhani tuvisii media viache kushawishi media sababu mimi na Ali tulishakutana tukayaongea madukuduku yetu.


Mnakutanaje Na Kuongea Madukuduku Yenu Na Hamna Clouds Wala Shilawadu Wala Miladiayo Wala Daudi Bashite Wala Le Mutuz. Hatutaki. Mnakutanaje Kimya Kimya Alafu Iwe Nini?
Nasema Mimi Nimegoma. Kwanza Kwann Mkakutanie Nairobi... Kwenu??!
Hatukubali. Nasema Bifu Liendelee. Pumbavu Zenu...
 
Kwa sasa nchi itakuwa inatambulika zaidi kutokana na suala ya vyeti fake
 
Back
Top Bottom