unamaana ganii[emoji115] ?wengi ni kaskazini
Mboni miye hujaniweka..?!Habari zenu wakubwa,
Matumaini yetu ni kuwa nyote ni wazima wa afya na mnaendelea vema na shughuli zenu ili kuepuka kusoma namba.
Malengo ya uzi huu ni kuweka utaratibu wa kuweza kupata mwanaJF bora wa mwaka hasa jukwaa la siasa, mambo ya kimataifa na mengineyo.
Mambo yafuatayo ndiyo vigezo vitakavyotumika kumpata;
1. Mwenye hoja na uchambuzi mzuri wa masuala yanayohusu taifa letu kwa ujumla
2. Anayechambua mambo ya kisiasa kwa wigo sawa bila kuegemea au kupendelea upande wowote ule, kaka ni CHADEMA au CCM au CUF yuko tiyari kukosoa kwa hoja haijarishi ni chama chake
3. Mwenye nidhamu juu ya majibu anayowapa wengine na mwenye kujibu bila kubagua au kukejeli wengine na kuwadharau au kuwatamkia matusi(makosa yanayopelekea ban)
4. Mwenye michango mingi ya kuelimisha jamii,
5. Asiye mdini au mkabila wala asiyechanbua kwa kupendelea kabila/dini yake na kukashfu za wengie,
6. Mwenye kuheshimu wengine na mamlaka ya nchi haijarishi kamchagua kiongozi aliyeko madarakan au lah.
Orodha yangu ni kama ifuatavyo, ninyi ndio mtapiga kura kwenye poll na kupata mshindi;
1. The Boss
2. Faiza foxy
3. Mzee mwanakijiji
4. BAK
5. Lizaboni
6. Pasco
7. Heaven sent
8. Victorie
9. Technically
10. Mshana jr
Haimaanishi ambao hawajawekwa hawakuchangia hapana wamechangia sana ila kwa mwaka huu hawakufika viwango vya hawa hapa.
PIGA KURA YAKO.
Kupendwa ndo hukuHapajaharibika kitu maana kwako ni kwangu😛.
Wanakuita Muree, kwangu we ni wa kipekee
Ndo maana yeye na yule, hawaeshi upekepeke
Kila siku kwakwaru, kelele zilezile
Hawamtishi hata kenge, mwenye makazi kwenye pagale
Seuze hili jembe, la Ikungu sabo igembe
Nimemaliza na mic naidondosha.
HA HA LIST MBOVU NDO MAANA WABOBEZI HAWAPO, KUMBUKA KILA JUKWAA LINAWABABE WAKEunaanzaje kukosa? lîst mbovu.
Daaaaah basi mimi ndio kwishney tena,na ulofa huu ndio sikupati tenaaa labda ukizeeka ukawa kibogoyo ndio utakuja mbio kwangu we mrembo,yaani Ngabu kakutungia mpaka mashairi daah kweli wewe kipusa mamii.
11. Kibwenzi naeHabari zenu wakubwa,
Matumaini yetu ni kuwa nyote ni wazima wa afya na mnaendelea vema na shughuli zenu ili kuepuka kusoma namba.
Malengo ya uzi huu ni kuweka utaratibu wa kuweza kupata mwanaJF bora wa mwaka hasa jukwaa la siasa, mambo ya kimataifa na mengineyo.
Mambo yafuatayo ndiyo vigezo vitakavyotumika kumpata;
1. Mwenye hoja na uchambuzi mzuri wa masuala yanayohusu taifa letu kwa ujumla
2. Anayechambua mambo ya kisiasa kwa wigo sawa bila kuegemea au kupendelea upande wowote ule, kaka ni CHADEMA au CCM au CUF yuko tiyari kukosoa kwa hoja haijarishi ni chama chake
3. Mwenye nidhamu juu ya majibu anayowapa wengine na mwenye kujibu bila kubagua au kukejeli wengine na kuwadharau au kuwatamkia matusi(makosa yanayopelekea ban)
4. Mwenye michango mingi ya kuelimisha jamii,
5. Asiye mdini au mkabila wala asiyechanbua kwa kupendelea kabila/dini yake na kukashfu za wengie,
6. Mwenye kuheshimu wengine na mamlaka ya nchi haijarishi kamchagua kiongozi aliyeko madarakan au lah.
Orodha yangu ni kama ifuatavyo, ninyi ndio mtapiga kura kwenye poll na kupata mshindi;
1. The Boss
2. Faiza foxy
3. Mzee mwanakijiji
4. BAK
5. Lizaboni
6. Pasco
7. Heaven sent
8. Victorie
9. Technically
10. Mshana jr
Haimaanishi ambao hawajawekwa hawakuchangia hapana wamechangia sana ila kwa mwaka huu hawakufika viwango vya hawa hapa.
PIGA KURA YAKO.
may be alijisajiri kwa project maalum.baada ya kumaliza project yake,akatoweka.Ocampo four was last seen:
Jun 4, 2016
Ulitumia vigezo gani kuwapata hawa KUMI? Ocampo four mara yake ya mwisho kuchangia ilikuwa ni june mwaka huu.
britanicca