Ni nani anastahili kuwa MwanaJamiiForums bora wa mwaka?

Ni nani anastahili kuwa MwanaJamiiForums bora wa mwaka?

Nani Mwana JamiiForums bora wa mwaka kati ya hawa?

  • The Boss

  • Faiza Foxy

  • Mzee Mwanakijiji

  • BAK

  • Pasco

  • Heaven Sent

  • Victorie

  • Technically

  • Mshana Jr

  • Lizaboni

Results are only viewable after voting.
Mkuu vigezo ulivyovitoa nadhan hukuvitumia kutoa orodha hiyo kwa sababu karibu kila member aliye kwenye list yako anakosa baadhi ya vigezo miongon mwa ulivyovitoa, nisingependa kuanza kumkosoa mmoja mmoja kwenye hiyo list. But kwa kuwa unahitaji the best kwa upande wangu THE BOSS
 
upload_2016-12-5_21-59-7.png

nsha vote na kura yangu hiyo kwa The Boss
 
Habari zenu wakubwa,

Matumaini yetu ni kuwa nyote ni wazima wa afya na mnaendelea vema na shughuli zenu ili kuepuka kusoma namba.

Malengo ya uzi huu ni kuweka utaratibu wa kuweza kupata mwanaJF bora wa mwaka hasa jukwaa la siasa, mambo ya kimataifa na mengineyo.

Mambo yafuatayo ndiyo vigezo vitakavyotumika kumpata;

1. Mwenye hoja na uchambuzi mzuri wa masuala yanayohusu taifa letu kwa ujumla
2. Anayechambua mambo ya kisiasa kwa wigo sawa bila kuegemea au kupendelea upande wowote ule, kaka ni CHADEMA au CCM au CUF yuko tiyari kukosoa kwa hoja haijarishi ni chama chake
3. Mwenye nidhamu juu ya majibu anayowapa wengine na mwenye kujibu bila kubagua au kukejeli wengine na kuwadharau au kuwatamkia matusi(makosa yanayopelekea ban)
4. Mwenye michango mingi ya kuelimisha jamii,
5. Asiye mdini au mkabila wala asiyechanbua kwa kupendelea kabila/dini yake na kukashfu za wengie,
6. Mwenye kuheshimu wengine na mamlaka ya nchi haijarishi kamchagua kiongozi aliyeko madarakan au lah.

Orodha yangu ni kama ifuatavyo, ninyi ndio mtapiga kura kwenye poll na kupata mshindi;

1. The Boss
2. Faiza foxy
3. Mzee mwanakijiji
4. BAK
5. Lizaboni
6. Pasco
7. Heaven sent
8. Victorie
9. Technically
10. Mshana jr

Haimaanishi ambao hawajawekwa hawakuchangia hapana wamechangia sana ila kwa mwaka huu hawakufika viwango vya hawa hapa.

PIGA KURA YAKO.
Mboni miye hujaniweka..?!
Au unapendelea wa Daslama wenzio..!!!
 
Hapajaharibika kitu maana kwako ni kwangu😛.

Wanakuita Muree, kwangu we ni wa kipekee
Ndo maana yeye na yule, hawaeshi upekepeke
Kila siku kwakwaru, kelele zilezile
Hawamtishi hata kenge, mwenye makazi kwenye pagale
Seuze hili jembe, la Ikungu sabo igembe

Nimemaliza na mic naidondosha.
Kupendwa ndo huku

Kupendwa kuheshimiwa

Mie nawe mpaka milele my Nzagamba[emoji108]

Cc KARANJA 007
 
Ungeweka kwa kategori mfano:
Ungetofautisha kati ya Me na Ke
Wakongwe na Chipukizi...nk
 
Kupendwa ndo huku

Kupendwa kuheshimiwa

Mie nawe mpaka milele my Nzagamba[emoji108]

Cc KARANJA 007
Daaaaah basi mimi ndio kwishney tena,na ulofa huu ndio sikupati tenaaa labda ukizeeka ukawa kibogoyo ndio utakuja mbio kwangu we mrembo,yaani Ngabu kakutungia mpaka mashairi daah kweli wewe kipusa mamii.
 
kwa kuwa mwaka 2016 sikujihusisha sana na mitandao ya kijamii ikiwemo JF,sifahamu member walio trend vizuri.

yawezekana alio orodhesha mleta mada ndio waliong'ara zaidi.
 
Wote hawafai na kwa taarifa yako mwanajf bora wa mwaka bila hata porojo,wivu wala nn ni pascal mayalla.Hao hapo juu ni upuuzi.

MASIKINI WATUMISHI ANNUAL INCREMEMENTS,MALIMBIKIZO NA MADAI YAO YAMEYEYUKA.
Tuonane 2020.
 
Kwa kweli nashindwa kuelewa vigezo na masharti vilivyotumika, nikiwa kama mdau mkubwa wa jukwaa la science na technology kutomweka Chief mkwawa hakujanivutia kabisa hii list haijabalance.!
 
Habari zenu wakubwa,

Matumaini yetu ni kuwa nyote ni wazima wa afya na mnaendelea vema na shughuli zenu ili kuepuka kusoma namba.

Malengo ya uzi huu ni kuweka utaratibu wa kuweza kupata mwanaJF bora wa mwaka hasa jukwaa la siasa, mambo ya kimataifa na mengineyo.

Mambo yafuatayo ndiyo vigezo vitakavyotumika kumpata;

1. Mwenye hoja na uchambuzi mzuri wa masuala yanayohusu taifa letu kwa ujumla
2. Anayechambua mambo ya kisiasa kwa wigo sawa bila kuegemea au kupendelea upande wowote ule, kaka ni CHADEMA au CCM au CUF yuko tiyari kukosoa kwa hoja haijarishi ni chama chake
3. Mwenye nidhamu juu ya majibu anayowapa wengine na mwenye kujibu bila kubagua au kukejeli wengine na kuwadharau au kuwatamkia matusi(makosa yanayopelekea ban)
4. Mwenye michango mingi ya kuelimisha jamii,
5. Asiye mdini au mkabila wala asiyechanbua kwa kupendelea kabila/dini yake na kukashfu za wengie,
6. Mwenye kuheshimu wengine na mamlaka ya nchi haijarishi kamchagua kiongozi aliyeko madarakan au lah.

Orodha yangu ni kama ifuatavyo, ninyi ndio mtapiga kura kwenye poll na kupata mshindi;

1. The Boss
2. Faiza foxy
3. Mzee mwanakijiji
4. BAK
5. Lizaboni
6. Pasco
7. Heaven sent
8. Victorie
9. Technically
10. Mshana jr

Haimaanishi ambao hawajawekwa hawakuchangia hapana wamechangia sana ila kwa mwaka huu hawakufika viwango vya hawa hapa.

PIGA KURA YAKO.
11. Kibwenzi nae
 
Back
Top Bottom