Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmmh kwani ni jinsia gani mkuu?Hivi kabisa mnaamini huyo FaizaFoxy ni mwanamke?
Jiweke unapohisi unafiti Mkuu.....kuwa na amani kabisa.Duh mimi hujanitaja
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Ipo post no 219
Mleta Uzi umesema asiyeegemea chama fulani halafu kwa maajabu mtu kama Lizaboni na FaizaFoxy wamo kwa orodha yakoHabari zenu wakubwa,
Matumaini yetu ni kuwa nyote ni wazima wa afya na mnaendelea vema na shughuli zenu ili kuepuka kusoma namba.
Malengo ya uzi huu ni kuweka utaratibu wa kuweza kupata mwanaJF bora wa mwaka hasa jukwaa la siasa, mambo ya kimataifa na mengineyo.
Mambo yafuatayo ndiyo vigezo vitakavyotumika kumpata;
1. Mwenye hoja na uchambuzi mzuri wa masuala yanayohusu taifa letu kwa ujumla
2. Anayechambua mambo ya kisiasa kwa wigo sawa bila kuegemea au kupendelea upande wowote ule, kaka ni CHADEMA au CCM au CUF yuko tiyari kukosoa kwa hoja haijarishi ni chama chake
3. Mwenye nidhamu juu ya majibu anayowapa wengine na mwenye kujibu bila kubagua au kukejeli wengine na kuwadharau au kuwatamkia matusi(makosa yanayopelekea ban)
4. Mwenye michango mingi ya kuelimisha jamii,
5. Asiye mdini au mkabila wala asiyechanbua kwa kupendelea kabila/dini yake na kukashfu za wengie,
6. Mwenye kuheshimu wengine na mamlaka ya nchi haijarishi kamchagua kiongozi aliyeko madarakan au lah.
Orodha yangu ni kama ifuatavyo, ninyi ndio mtapiga kura kwenye poll na kupata mshindi;
1. The Boss
2. Faiza foxy
3. Mzee mwanakijiji
4. BAK
5. Lizaboni
6. Pasco
7. Heaven sent
8. Victorie
9. Technically
10. Mshana jr
Haimaanishi ambao hawajawekwa hawakuchangia hapana wamechangia sana ila kwa mwaka huu hawakufika viwango vya hawa hapa.
PIGA KURA YAKO.
atakuwa jike - dumeMmmh kwani ni jinsia gani mkuu?
Basi sikuona vizuri ,nikawa nashangaa kama wamefuta viranja ndio nikawa najiuliza itakuwa kwa sababu ganiWait....mbona bado ipo...
Cheki bandiko namba 219.
He hee mwamba ngozi huvutia kwake... Hivyo kura yangu ni kwangu[emoji12]Muree...we kura yako kwa nani?
Ole wako ukosee.....
Mkuu tayari nimewaongeza kwenye list members wa ukweli, majembe ya JF.duh hujawataja swahiba zako
Iceman 3D na hance mtanashati
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
He hee mwamba ngozi huvutia kwake... Hivyo kura yangu ni kwangu[emoji12]
Hapo sawaMkuu tayari nimewaongeza kwenye list members wa ukweli, majembe ya JF.
*Hance Mtanashati
*Iceman 3D ...siasa za Trump[emoji1] [emoji1]