Ni vigumu sana kumpata mwana JF bora wa mwaka kwa ujumla kama huu.
Nafikiri kila jukwaa lingekuwa na wagombea wake.
Kwa mfano
Jukwaa la siasa angegombea Technically, Lizaboni, na Mwanahabari huru,
The Boss
Jukwaa la Intelligence angegombea
MSEZA MKULU,
The bold, na
I am the winner.
International angegombea
BAK,
RUCCI, na
Ipycalypse
Habari mchanganyiko angegombea
mshana jr,
chinchilla coat na
GENTAMYCINE.
Chit-chat hili halina mpinzani linaenda kwa makapuku forums kwa ujumla kama lilivyo
JF Celbs.
warumi,
hans Mtanashati, na
brave one....wagombee.
MMU nimeshindwa kuweka wagombea.
JF sports @prondo,
Mentor Nifah
JF Doctor hili jukwaa atagombea
Sky Eclat peke yake maana hakuna mgombea mwingine.
JLM hapa watagombea
fakalava Shunie na
Ambiele Kiviele
NB huu mfano ni kwa mtazamo wangu mwenyewe.....lakini ndivyo tulitakiwa kuwapata wana JF bora.
Huwezi kusema mtu mmoja atwae tuzo wakati JF ina majukwaa mengi na kila jukwaa lina manguli wanaolitendea haki.