Griseofulvin
JF-Expert Member
- Sep 15, 2016
- 1,012
- 1,995
Barafu
Mshana Jr
Kiranga
Gentamycine
BAK
Hawa kwangu ndio wapo vizuri.....
Mshana Jr
Kiranga
Gentamycine
BAK
Hawa kwangu ndio wapo vizuri.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Exactly..Ni vigumu sana kumpata mwana JF bora wa mwaka kwa ujumla kama huu.
Nafikiri kila jukwaa lingekuwa na wagombea wake.
Kwa mfano
Jukwaa la siasa angegombea Technically, Lizaboni, na Mwanahabari huru, The Boss
Jukwaa la Intelligence angegombea MSEZA MKULU, The bold, na I am the winner.
International angegombea BAK, RUCCI, na Ipycalypse
Habari mchanganyiko angegombea mshana jr, chinchilla coat na GENTAMYCINE.
Chit-chat hili halina mpinzani linaenda kwa makapuku forums kwa ujumla kama lilivyo
JF Celbs. warumi, hans Mtanashati, na brave one....wagombee.
MMU nimeshindwa kuweka wagombea.
JF sports @prondo, Mentor Nifah
JF Doctor hili jukwaa atagombea Sky Eclat peke yake maana hakuna mgombea mwingine.
JLM hapa watagombea fakalava Shunie na Ambiele Kiviele
NB huu mfano ni kwa mtazamo wangu mwenyewe.....lakini ndivyo tulitakiwa kuwapata wana JF bora.
Huwezi kusema mtu mmoja atwae tuzo wakati JF ina majukwaa mengi na kila jukwaa lina manguli wanaolitendea haki.
HAPANAAAAAAAAAAAAAAAAAAAH...Narudia tena HAPANAAAAAAAA....NO..NO..NO...!!!!UPDATES
KUTOKANA NA MAONI YA WADAU , TUMEMUONGEZA MSHANA JR, NA HEAVEN SENT, WATACHUKUA NAFASI ZA , OCAMPOR , NA MISS NATAFTA, NIMEJARIBU KUEDIT KWENYE POLL NIMESHINDWA, MODS WATANISAIDIA. HII KITU NI SERIOUS KABISA, mods saidia ku edit kwenye polls mtoen miss natafta na ocampor,muweke mshana jr na heaven sent
Habari zenu wakubwa,
Matumaini yetu ni kuwa nyote ni wazima wa afya na mnaendelea vema na shughuli zenu ili kuepuka kusoma namba.
Malengo ya uzi huu ni kuweka utaratibu wa kuweza kupata mwanaJF bora wa mwaka hasa jukwaa la siasa, mambo ya kimataifa na mengineyo.
Mambo yafuatayo ndiyo vigezo vitakavyotumika kumpata...
1. Mwenye hoja na uchambuzi mzuri wa masuala yanayohusu taifa letu kwa ujumla
2. Anayechambua mambo ya kisiasa kwa wigo sawa bila kuegemea au kupendelea upande wowote ule, kaka ni CHADEMA au CCM au CUF yuko tiyari kukosoa kwa hoja haijarishi ni chama chake
3. Mwenye nidhamu juu ya majibu anayowapa wengine na mwenye kujibu bila kubagua au kukejeli wengine na kuwadharau au kuwatamkia matusi(makosa yanayopelekea ban)
4. Mwenye michango mingi ya kuelimisha jamii,
5. Asiye mdini au mkabila wala asiyechanbua kwa kupendelea kabila/dini yake na kukashfu za wengie,
6. Mwenye kuheshimu wengine na mamlaka ya nchi haijarishi kamchagua kiongozi aliyeko madarakan au lah.
Orodha yangu ni kama ifuatavyo, ninyi ndio mtapiga kura kwenye poll na kupata mshindi.
1. The Boss
2. Faiza foxy
3. Mzee mwanakijiji
4. BAK
5. Lizaboni
6. Pasco
7. Heaven sent
8. victorie
9. Technically
10.Mshana jr
Haimaanishi ambao hawajawekwa hawakuchangia hapana wamechangia sana ila kwa mwaka huu hawakufika viwango vya hawa hapa
PIGA KURA YAKO.
Ndio hivyo Mkuu.Exactly..
Uimeongea ukweli mtupu. Hakika hii thread ni batili.
Jamii forum futeni huu uzi maana haujatendendea haki majukwaa
ndo huyo huyo wa presidential decreeHivi Pasco ndio Pascal Mayalla?
haha acha hizo wewe kuna mwingine ashasema wa kaskazin tu wengine ni mewabagua
basi mpigie kura[emoji23] [emoji23] [emoji23] hujaachaga tu huu?
Mi mtazamaji tu banaWewe unafaa tuzo ipi?
I cecond you...Ni vigumu sana kumpata mwana JF bora wa mwaka kwa ujumla kama huu.
Nafikiri kila jukwaa lingekuwa na wagombea wake.
Kwa mfano
Jukwaa la siasa angegombea Technically, Lizaboni, na Mwanahabari huru, The Boss
Jukwaa la Intelligence angegombea MSEZA MKULU, The bold, na I am the winner.
International angegombea BAK, RUCCI, na Ipycalypse
Habari mchanganyiko angegombea mshana jr, chinchilla coat na GENTAMYCINE.
Chit-chat hili halina mpinzani linaenda kwa makapuku forums kwa ujumla kama lilivyo
JF Celbs. warumi, hans Mtanashati, na brave one....wagombee.
MMU nimeshindwa kuweka wagombea.
JF sports @prondo, Mentor Nifah
JF Doctor hili jukwaa atagombea Sky Eclat peke yake maana hakuna mgombea mwingine.
JLM hapa watagombea fakalava Shunie na Ambiele Kiviele
NB huu mfano ni kwa mtazamo wangu mwenyewe.....lakini ndivyo tulitakiwa kuwapata wana JF bora.
Huwezi kusema mtu mmoja atwae tuzo wakati JF ina majukwaa mengi na kila jukwaa lina manguli wanaolitendea haki.
Gracious! Gracious!I cecond you...
Huu mtiririko wako ndo mzuri...
Siku hizi BAK anapaniki sana, hana uvimilivu wala mada motomoto kama zamani. Ujio wa Lowasa ndani ya Chadema umemvuruga sana japo huwezi kumuona akikiri hadharani.