Ni nani anastahili kuwa MwanaJamiiForums bora wa mwaka?

Ni nani anastahili kuwa MwanaJamiiForums bora wa mwaka?

Nani Mwana JamiiForums bora wa mwaka kati ya hawa?

  • The Boss

  • Faiza Foxy

  • Mzee Mwanakijiji

  • BAK

  • Pasco

  • Heaven Sent

  • Victorie

  • Technically

  • Mshana Jr

  • Lizaboni


Results are only viewable after voting.
Tuwe na list kama ya makapuku hivi hii tuliowekewa ina bias. Lakini endeleeni tu tufurahi.
 
ngoja ni reply mrejesho ukija ntapata jibu



ivi hizi tuzo zina hela km tuzo zingine?
 
Mshana JR ungemshindanisha kwa kuanzisha mada za uganga na ushirikina. Halafu washindani wenza wake wawe MziziMkavu, Kiranga na wale jamaa wengine.

Bujibuji ungemwanzishia shindano la wala nguruwe, yaani hapo unakuwa umemfikisha

maoni yangu wakuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115]
 
Mimi mwenyewe nilikuwa na majina yangu mfukoni ,nikasema kwa Mshana kutowekwa isiwe tabu ,tutapindua tu matokeo na atayeleta fyokofyoko rasi Nyoka lazima awe mwenyeji wake
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115]
 
Ni vigumu sana kumpata mwana JF bora wa mwaka kwa ujumla kama huu.

Nafikiri kila jukwaa lingekuwa na wagombea wake.
Kwa mfano
Jukwaa la siasa angegombea Technically, Lizaboni, na Mwanahabari huru, The Boss

Jukwaa la Intelligence angegombea MSEZA MKULU, The bold, na I am the winner.

International angegombea BAK, RUCCI, na Ipycalypse

Habari mchanganyiko angegombea mshana jr, chinchilla coat na GENTAMYCINE.

Chit-chat hili halina mpinzani linaenda kwa makapuku forums kwa ujumla kama lilivyo

JF Celbs. warumi, hans Mtanashati, na brave one....wagombee.

MMU nimeshindwa kuweka wagombea.

JF sports @prondo, Mentor Nifah

JF Doctor hili jukwaa atagombea Sky Eclat peke yake maana hakuna mgombea mwingine.

JLM hapa watagombea fakalava Shunie na Ambiele Kiviele

NB Huu ni mfano tu...........lakini ndivyo tulitakiwa kuwapata wana JF bora.

Huwezi kusema mtu mmoja atwae tuzo wakati JF ina majukwaa mengi na kila jukwaa lina manguli wanaolitendea haki.
 
Sasa itakuwaje...maana mimi kama Mshana yumo I have to declare interest kwamba ntampigia kura..ila nimeshampigia braza Paskali.

In any case both deserve accolade. I like their objectivity. Pasco na Mshana posts zao ni za kiutu uzima na wanaijua hadhira yao wanayoiandikia.
 
Back
Top Bottom