Ni nani anastahili kuwa MwanaJamiiForums bora wa mwaka?

Ni nani anastahili kuwa MwanaJamiiForums bora wa mwaka?

Nani Mwana JamiiForums bora wa mwaka kati ya hawa?

  • The Boss

  • Faiza Foxy

  • Mzee Mwanakijiji

  • BAK

  • Pasco

  • Heaven Sent

  • Victorie

  • Technically

  • Mshana Jr

  • Lizaboni

Results are only viewable after voting.
Mkuu yuko wapi Nyani Ngabu? kwenye orodha yako!!Ngabu ni mchangiaji mzuri, japo ni mkora kidogo lakini hoja zake huwa na mashiko na hayuko Biased na Sio mbinafsi.Nafikiri na yeye ana sifa za kuwa hapo.

Thank you, thank you.

You are far too kind.

But I'm too big for these annual accolades.

It has long been settled that I'm the man of all years in these forums and it's immutable.

Again, thank you ever so much for your kindness and consideration.

Real recognize real.

Respect.
 
Thank you, thank you.

You are far too kind.

But I'm too big for these annual accolades.

It has long been settled that I'm the man of all years in these forums.

Again, thank you ever so much for your kindness and consideration.

Real recognize real.

Respect.
Huyu ni wa muda wote wapo ambao si heshima.kushindanishwa wakati uwezo wake unaonekana, kwa masuala ya kimataifa ngabu ni hatari sana
 
Lol! Hahahaha siyo swala la kupanick Mkuu ni swala la kusikitishwa na nchi yetu iliyojaliwa utajiri mkubwa sana kuendeshwa hovyo hovyo kiasi ambacho utajiri wa nchi unawanufaisha kundi dogo sana la Watanzania huku nchi ikibaki nyuma kwenye kila sekta. Ujio wa Lowassa haujanivuruga na kamwe hautanivuruga kwa sababu kama alivyosema Baba wa Taifa CHADEMA si mama yangu. Na sitashangaa kama Lowassa siku moja akiamua kurudi CCM, BAK atakuwa wa kwanza kushangilia.
Hapo ndo huwa sikuelewi uko kama john john mnyika
 
Pascal mayala anatumia jina gani humu alisema ni member mzr sna
 
Lol! Hahahaha siyo swala la kupanick Mkuu ni swala la kusikitishwa na nchi yetu iliyojaliwa utajiri mkubwa sana kuendeshwa hovyo hovyo kiasi ambacho utajiri wa nchi unawanufaisha kundi dogo sana la Watanzania huku nchi ikibaki nyuma kwenye kila sekta. Ujio wa Lowassa haujanivuruga na kamwe hautanivuruga kwa sababu kama alivyosema Baba wa Taifa CHADEMA si mama yangu. Na sitashangaa kama Lowassa siku moja akiamua kurudi CCM, BAK atakuwa wa kwanza kushangilia.

Hapo nimekuelewa Mkuu.!
 
Huyu ni wa muda wote wapo ambao si heshima.kushindanishwa wakati uwezo wake unaonekana, kwa masuala ya kimataifa ngabu ni hatari sana

Shukran katheeran!

Tajiriba yangu kongwe na anuai juu ya masuala ya kimataifa ni hazina.
 
Hivi Pasco na Paskal Mayalla si ni watu tofauti, alieuliza swali Ikulu ni Paskali na hayupo kwenye listi hapo juu?..
*-ndugu yangu unampigia debe mtu mwingine[emoji1] [emoji1]
nimempigiaa pasco kwa ushujaa wake wakumtwanga mkuu sw3ali lenye hadhi ya kimataifaa alafu mi naonaa kwa mwaka huu aliyefanya vizur ni pasco peke yake kumfananisha na watu wa ajabu ni dharau pasco alifanya vitu vinavyoonekana yaan live sasa mnatuleteaa watu wa ajabu ajabu wakati mshanajr anatufundishaa kila siku hapa na hujamuweka

paco ndo mshindi fuuuuul stop

nimeanza kampeni rasmi kwa pasco alichokifanya hamna anayeweza kusimama na kuitambulisha jf kama yeye
 
Thank you, thank you.

You are far too kind.

But I'm too big for these annual accolades.

It has long been settled that I'm the man of all years in these forums and it's immutable.

Again, thank you ever so much for your kindness and consideration.

Real recognize real.

Respect.
Nakumbuka encore
 
Wakuu Nguruvi3 na Mag3 hawa michango yao imetulia sana wanastahili kuwemo kwenye hii list.
 
Kajipange... Umekurupuka na hufai kuwa jaji... Kuna watu ambao ni 'the most hated' kama Lizaboni sijui umemtoa wapi,
Miss Natafuta kawaida yake kulia lia na kutendwa, sijawahi ona mada yake ya kuelimisha, Faiza Fox ni mdini, mbaguzi na ana majibu ya toilet Pepa, The boss ameimprove, naye zamani alikuwa mvivu kuchangia mada ila tangu tumsimange amejirekebisha, Mwana habari huru huyu nahisi ni buku saba wa Chadema... Kifupi list yako haina jipya...
Kwa faiza fox nakuunga mkono ana maneno mabaya sijui kama kaolewa kama ni mke wa mtu mmewe anayo kazi
 
Yehodaya unamaaana gani unaposema wa kaskazini inamaana jamii wana upendeleo? Nashauri wrote tupige kura isinyeshe ubaguzi
 
Back
Top Bottom