Ni nani anastahili kuwa MwanaJamiiForums bora wa mwaka?

Nani Mwana JamiiForums bora wa mwaka kati ya hawa?

  • The Boss

  • Faiza Foxy

  • Mzee Mwanakijiji

  • BAK

  • Pasco

  • Heaven Sent

  • Victorie

  • Technically

  • Mshana Jr

  • Lizaboni


Results are only viewable after voting.
mbona Mshana jr,Chachu Ombara, Barafu, hawamo, hiyo list yako bora ukaipe tuzo kimya kimya
 
JF kwa sasa wengi tunachangia kwa kuangalia itikadi ya vyama na viongozi wetu, Wenye kuangalia Utaifa ni wachache sana.

Ndio maana hata CCM wakifanya vizuri huwezi kuona Chadema wakipongeza, vivyo hivyo kwa CCM ni vigumu kuwapongeza Chadema kwa mambo mazuri yaliyo wazi.

Humo nimwenda wa kulaumu, kulaumiana na kuombeana mabaya.
 
Mimi mbona hujaniweka sass[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
nimempigiaa pasco kwa ushujaa wake wakumtwanga mkuu sw3ali lenye hadhi ya kimataifaa alafu mi naonaa kwa mwaka huu aliyefanya vizur ni pasco peke yake kumfananisha na watu wa ajabu ni dharau pasco alifanya vitu vinavyoonekana yaan live sasa mnatuleteaa watu wa ajabu ajabu wakati mshanajr anatufundishaa kila siku hapa na hujamuweka
 
Sikubaliani na analysis yako.
Hapa wengi wetu tunaangalia nyeupe na nyeusi.
Mbowe akizingua hatumuachi ccm vile vile
 
Orodha haiwezi kukamilika bila Gangongine
 
Mimi mbona hujaniweka sass[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Nimemuuliza hii list kaitoa wapi?
Kiranga hayupo @ nyani ngabu msukuma hayupo @ the bold na mshana .. Kuna vichwa vingi na hapa JF kuna watu wamebase kwenye baadhi ya majukwaa..
Kuna steve job @ consiglience wengi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…