Magna Carta
JF-Expert Member
- Jul 14, 2014
- 4,347
- 6,652
mbona Mshana jr,Chachu Ombara, Barafu, hawamo, hiyo list yako bora ukaipe tuzo kimya kimya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
haijalishi.Sorry, is it proon or prune! Sina uhakika-Anyway haijarishi.
Sikubaliani na analysis yako.JF kwa sasa wengi tunachangia kwa kuangalia itikadi ya vyama na viongozi wetu, Wenye kuangalia Utaifa ni wachache sana.
Ndio maana hata CCM wakifanya vizuri huwezi kuona Chadema wakipongeza, vivyo hivyo kwa CCM ni vigumu kuwapongeza Chadema kwa mambo mazuri yaliyo wazi.
Humo nimwenda wa kulaumu, kulaumiana na kuombeana mabaya.
Orodha haiwezi kukamilika bila GangongineHabari zenu wakubwa,
Matumaini yetu ni kuwa nyote ni wazima wa afya na mnaendelea vema na shughuli zenu ili kuepuka kusoma namba.
Malengo ya uzi huu ni kuweka utaratibu wa kuweza kupata mwanaJF bora wa mwaka hasa jukwaa la siasa, mambo ya kimataifa na mengineyo.
Mambo yafuatayo ndiyo vigezo vitakavyotumika kumpata...
1. Mwenye hoja na uchambuzi mzuri wa masuala yanayohusu taifa letu kwa ujumla
2. Anayechambua mambo ya kisiasa kwa wigo sawa bila kuegemea au kupendelea upande wowote ule, kaka ni CHADEMA au CCM au CUF yuko tiyari kukosoa kwa hoja haijarishi ni chama chake
3. Mwenye nidhamu juu ya majibu anayowapa wengine na mwenye kujibu bila kubagua au kukejeli wengine na kuwadharau au kuwatamkia matusi(makosa yanayopelekea ban)
4. Mwenye michango mingi ya kuelimisha jamii,
5. Asiye mdini au mkabila wala asiyechanbua kwa kupendelea kabila/dini yake na kukashfu za wengie,
6. Mwenye kuheshimu wengine na mamlaka ya nchi haijarishi kamchagua kiongozi aliyeko madarakan au lah.
Orodha yangu ni kama ifuatavyo, ninyi ndio mtapiga kura kwenye poll na kupata mshindi.
1. The Boss
2. Faiza foxy
3. Mzee mwanakijiji
4. BAK
5. Lizaboni
6. Pasco
7. Miss Natafta
8. victorie
9. Technically
10. Ocampor four
Haimaanishi ambao hawajawekwa hawakuchangia hapana wamechangia sana ila kwa mwaka huu hawakufika viwango vya hawa hapa
PIGA KURA YAKO.
mshana angetakiwa kuwepo sasa kwa kuwa hayupo bora pasco apate though wamemzulumu mshana jrMshana jr japo hayupo kwenye list yako lakini anakidhi vigezo na kwa maana hiyo Nampa kura yangu japo hayupo kwenye orodha ya watu wanaoshindania hiyo tuzo
Nimemuuliza hii list kaitoa wapi?Mimi mbona hujaniweka sass[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Noted!haijalishi.