Ni nani anastahili kuwa MwanaJamiiForums bora wa mwaka?

Nani Mwana JamiiForums bora wa mwaka kati ya hawa?

  • The Boss

  • Faiza Foxy

  • Mzee Mwanakijiji

  • BAK

  • Pasco

  • Heaven Sent

  • Victorie

  • Technically

  • Mshana Jr

  • Lizaboni


Results are only viewable after voting.
Hyo list since yupo madam f.foxy bhas tegemea mapingamizi meng sana mf mbna wazee wamejaa,mbna wa kaskazin,mbna wa limumba wengi nk
 
Anafundisha nini? Ushirikina
 
mbona sioni jina la barafu
huyu kwangu ndio mchangiaji bora asiye na upande.Kaleta habari za bombadia na kawakosoa sana kina Makonda na GAMBO na hata serikali ya JPM...MUWEKENI HUYU PIA
 
Nimemuuliza hii list kaitoa wapi?
Kiranga hayupo @ nyani ngabu msukuma hayupo @ the bold na mshana .. Kuna vichwa vingi na hapa JF kuna watu wamebase kwenye baadhi ya majukwaa..
Kuna steve job @ consiglience wengi tu
Nyani ngabu ana nini cha maana? Au kakuhaidi kukupeleka ukabebe box
 
I support Pasco. Ila nimesikitika Kiongozi wangu Mkuu Mshana Jnr hujamuweka kwenye list. Wengine wengi all they have is their common hate for MAGUFULI. Mf. BAK na The Boss ingawa ni kaka zangu wakongwe humu.........they cant hide their hate for Magufuli. They don't see anything positive from this man from Chato πŸ™‚
 
Mkuu yuko wapi Nyani Ngabu? kwenye orodha yako!!Ngabu ni mchangiaji mzuri, japo ni mkora kidogo lakini hoja zake huwa na mashiko na hayuko Biased na Sio mbinafsi.Nafikiri na yeye ana sifa za kuwa hapo.
Hana sifa huyo sifuri kabisa
 
Niweke na mie hapo.Michango yote ninayotupia hapa tena ya maana,haiwezekani .sikubali
 
The boss,technically na Lizaboni bila kupepesa macho unajua kila mtu tu anaupande wake anaouegemea soma thread zao, comments zao utajua tu.
Hapo anayestahili ni PASCO tu wengine Hapana....!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…