Iringa Native
JF-Expert Member
- Nov 9, 2011
- 961
- 3,055
Hyo list since yupo madam f.foxy bhas tegemea mapingamizi meng sana mf mbna wazee wamejaa,mbna wa kaskazin,mbna wa limumba wengi nk
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anafundisha nini? Ushirikinanimempigiaa pasco kwa ushujaa wake wakumtwanga mkuu sw3ali lenye hadhi ya kimataifaa alafu mi naonaa kwa mwaka huu aliyefanya vizur ni pasco peke yake kumfananisha na watu wa ajabu ni dharau pasco alifanya vitu vinavyoonekana yaan live sasa mnatuleteaa watu wa ajabu ajabu wakati mshanajr anatufundishaa kila siku hapa na hujamuweka
Haha huyo kama upepo kila maada yupo hahaha!!Hadi miss natafuta???
Nyani ngabu ana nini cha maana? Au kakuhaidi kukupeleka ukabebe boxNimemuuliza hii list kaitoa wapi?
Kiranga hayupo @ nyani ngabu msukuma hayupo @ the bold na mshana .. Kuna vichwa vingi na hapa JF kuna watu wamebase kwenye baadhi ya majukwaa..
Kuna steve job @ consiglience wengi tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Akishinda lizaboni au faiza foxy nakojolea simu yangu hapahapa...nva jf siingii tena
Hana sifa huyo sifuri kabisaMkuu yuko wapi Nyani Ngabu? kwenye orodha yako!!Ngabu ni mchangiaji mzuri, japo ni mkora kidogo lakini hoja zake huwa na mashiko na hayuko Biased na Sio mbinafsi.Nafikiri na yeye ana sifa za kuwa hapo.
Niweke na mie hapo.Michango yote ninayotupia hapa tena ya maana,haiwezekani .sikubaliHabari zenu wakubwa,
Matumaini yetu ni kuwa nyote ni wazima wa afya na mnaendelea vema na shughuli zenu ili kuepuka kusoma namba.
Malengo ya uzi huu ni kuweka utaratibu wa kuweza kupata mwanaJF bora wa mwaka hasa jukwaa la siasa, mambo ya kimataifa na mengineyo.
Mambo yafuatayo ndiyo vigezo vitakavyotumika kumpata...
1. Mwenye hoja na uchambuzi mzuri wa masuala yanayohusu taifa letu kwa ujumla
2. Anayechambua mambo ya kisiasa kwa wigo sawa bila kuegemea au kupendelea upande wowote ule, kaka ni CHADEMA au CCM au CUF yuko tiyari kukosoa kwa hoja haijarishi ni chama chake
3. Mwenye nidhamu juu ya majibu anayowapa wengine na mwenye kujibu bila kubagua au kukejeli wengine na kuwadharau au kuwatamkia matusi(makosa yanayopelekea ban)
4. Mwenye michango mingi ya kuelimisha jamii,
5. Asiye mdini au mkabila wala asiyechanbua kwa kupendelea kabila/dini yake na kukashfu za wengie,
6. Mwenye kuheshimu wengine na mamlaka ya nchi haijarishi kamchagua kiongozi aliyeko madarakan au lah.
Orodha yangu ni kama ifuatavyo, ninyi ndio mtapiga kura kwenye poll na kupata mshindi.
1. The Boss
2. Faiza foxy
3. Mzee mwanakijiji
4. BAK
5. Lizaboni
6. Pasco
7. Miss Natafta
8. victorie
9. Technically
10. Ocampor four
Haimaanishi ambao hawajawekwa hawakuchangia hapana wamechangia sana ila kwa mwaka huu hawakufika viwango vya hawa hapa
PIGA KURA YAKO.
Hahahahahaha nimecheka sana..atapata yangu, wakudadavua, rutashobolwa, stroke, yehodaya, motochini na wengineo😉😉😉
Tuzo ya umbeya ushindane na nifah itakufaamnazungumziaje uwepo wangu kwenye hizi tuzo?
aliyeniweka hapo mungu anamuona kura yangu nimempa pasco@ Miss natafuta wangu una zero.
Ngoja nikupigie uwe hata na kamoja