Ni nani anastahili kuwa MwanaJamiiForums bora wa mwaka?

Nani Mwana JamiiForums bora wa mwaka kati ya hawa?

  • The Boss

  • Faiza Foxy

  • Mzee Mwanakijiji

  • BAK

  • Pasco

  • Heaven Sent

  • Victorie

  • Technically

  • Mshana Jr

  • Lizaboni


Results are only viewable after voting.
Umetumia kigezo gani kuwapata hao? Au kwavile hao ni maarufu humu jf?
 
Huyo namba 5 utakuwa humjui vizuri naona

Bora umuweke Mshana jr kuliko huyo bazazi lizaboni
 
Wazo zuri, utekelezaji mbovu. Umetumia criteria zipi kuwachagua hao wanaoshindania hiyo tuzo?
 
Kwa kuwa mleta uzi amerekebisha sasa natangaza rasmi kuwa napiga yangu ya wazi kwaaaaaa Mshana jr
 
Nashindwa kupiga kura maana karibu wote uliowaorodhesha wananifuata pm kuulizia why role model wao sipo?? [emoji1] [emoji1]
 
Barafu anapost vitu vya msingi vyenye madhara chanya kwa serikali na taifa kwa ujumla.
The Bold anawapa JF members hasa kule intellijensia awareness ya dunia.
Kwangu hawa ndio bora kabisa mwaka huu.
 
Barafu anapost vitu vya msingi vyenye madhara chanya kwa serikali na taifa kwa ujumla.
The Bold anawapa JF members hasa kule intellijensia awareness ya dunia.
Kwangu hawa ndio bora kabisa mwaka huu.
na mimi nashangaa kwanini hawajamuweka
 
Mimi sipo

[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]


Hiyo list ni feki
 
Yani BAK ana kura mbili ina maana yangu na ya kwake.
Siku hizi BAK anapaniki sana, hana uvimilivu wala mada motomoto kama zamani. Ujio wa Lowasa ndani ya Chadema umemvuruga sana japo huwezi kumuona akikiri hadharani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…