MUSSA ALLAN
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 18,925
- 13,267
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tutajuaje mkuu, toa ahadi ya kupost video clip kabla hujaachana na JF ikitokea hivyo.Akishinda lizaboni au faiza foxy nakojolea simu yangu hapahapa...nva jf siingii tena
We mchaga unafujo sanaTuzo ya umbeya ushindane na nifah itakufaa
Bwihi.! Bwihi.! aitwe tu Sheikh Khalifa maana ugonjwa huu unazidi kuenea.!
na mimi nashangaa kwanini hawajamuwekaBarafu anapost vitu vya msingi vyenye madhara chanya kwa serikali na taifa kwa ujumla.
The Bold anawapa JF members hasa kule intellijensia awareness ya dunia.
Kwangu hawa ndio bora kabisa mwaka huu.
Nyani ngabu ana nini cha maana? Au kakuhaidi kukupeleka ukabebe box
Mfia chama hana tofauti na Lizaboni.. Tofauti ni yeye chadema na Lizaboni CCM
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hujaachaga tu huu?Hana sifa huyo sifuri kabisa
Sio warumi?Tuzo ya umbeya ushindane na nifah itakufaa
Wamekutoa.......!!! hapo sawa sasa.eti kaniweka mimi ?