Ni nani anastahili kuwa MwanaJamiiForums bora wa mwaka?

Nani Mwana JamiiForums bora wa mwaka kati ya hawa?

  • The Boss

  • Faiza Foxy

  • Mzee Mwanakijiji

  • BAK

  • Pasco

  • Heaven Sent

  • Victorie

  • Technically

  • Mshana Jr

  • Lizaboni


Results are only viewable after voting.
Unaposema wasiokuwemo hawakufikia vigezo vya kuwemo kwenye List..........ni vigezo gani....? au unajipendekeza kwa hao uliowataja.....!!!! nadhani ingekuwa bora kama ungeuliza tu halafu wachangiaji watiririke na siyo kutuwekea majina ya upendeleo.............!!!!! wengine JF ni nyumbani hata tukiwa na matatizo huja humu kuuliza.......je hawa nao hawafai kuwa ni kigezo cha kuwekwa kwenye list.....????
 
Kumwacha Nguruvi3 na barafu, kunakosa uhalali wa hii tuzo
 
Ni wazo zuri ulilo buni ila mia naashauri kungekuwa na categories mbali mbali kulingana na jukwaa. Kwa mfano jukwaa la siasi, chit chat nk. Ie kila jukwaa lingekuwa na nominee wake. Pia ufanye upembuzi wa kutosha kwa majina ya washindani.
 

Hivi Pasco ndio Pascal Mayalla?
 
Me nisiwe mnafiki kura yangu ningeipeleka moja kwa moja kwa bwana @thebold jamaa ana post ambazo ukisoma zinafundisha hana udini hana ukabila hana uchama baada ya huyo ningeichukua kushoto kulia ningemtupia chief mkwawa huyu kwa wale wenye IT problem nahc wanampata fresh
 
Pasco anafaa.


Lakini mbona nikiangalia hapo ninaona kuna watu wachawi!! wanafanya nini kwenye hiyo orodha. kama huyo MJ.
 
Umefanya makosa makubwa kumuacha The Bold
 
Mshana JR ungemshindanisha kwa kuanzisha mada za uganga na ushirikina. Halafu washindani wenza wake wawe MziziMkavu, Kiranga na wale jamaa wengine.

Bujibuji ungemwanzishia shindano la wala nguruwe, yaani hapo unakuwa umemfikisha

maoni yangu wakuu
 
mdau kama vipi uweke na categories. . hapo namimi nitakua category ya kusoma sana comment za wenzangu
 
Hakuna haja ya kupiga kura apo. Ni kiasi cha kutafta mwenye likes nyingi pamoja na trophy points.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…