Ni nani anastahili kuwa MwanaJamiiForums bora wa mwaka?

Ni nani anastahili kuwa MwanaJamiiForums bora wa mwaka?

Nani Mwana JamiiForums bora wa mwaka kati ya hawa?

  • The Boss

  • Faiza Foxy

  • Mzee Mwanakijiji

  • BAK

  • Pasco

  • Heaven Sent

  • Victorie

  • Technically

  • Mshana Jr

  • Lizaboni


Results are only viewable after voting.
Mleta uzi haujatenda haki kwa wanajamiiforums kwa ujumla wapo member waliotoa mchango wao wa hali na mali kwa maslahi ya taifa ila hawapo in the list. Kifupi naomba kuwatambua wafuatao:

CHIEF MKWAWA kwa watuamiaji wa jukwaa la Teknolojia watakubaliana nami kuwa huyu ni mtu wa kipekee na mwenye moyo wa kusaidia wengine. Naomba mchango wake utambuliwe kama mtoa ushauri wa masuala ya kiteknolojia bora zaidi jukwaani.

Amesaidia wengi katika kufanya maamuzi sahihi juu ya simu zinazofaa na utambuzi wa simu halisi na kuwakinga members na utapeli. Pia mkuu huyu hujibu maswali yote kwenye uzi na PM. Kwangu mimi anastahili tuzo ya MwanaJF analiyeitumikia Jamii.

Pili naomba utambuliwe mchango wa joka kuu, nguruvi, Rutashubanyuma Mkandara na BAK kama members bora wanaotekeleza dhana ya great thinking kwa vitendo. Mfuatiliaji wa mijadala iliyoshiba na yenye hoja atakubaliana nami kuwa hawa jamaa hujadili facts backed by data na huweka hoja zilizoshiba Mezani zikiambatana na uchambuzi mujarabu. Hawa wanastahili tuzo ya Great Thinkers of the Year.

Tatu wapo wanaowakilisha jamiiforums kweye anga la kimataifa wakitanguliza maslahi ya taifa mbele. Hawa ni wazalendo wa kweli na hututetea bila kuchoka na kuteteleka, hawa ni wanajeshi wetu katika at ardhi ya ugenini wakipigana vita dhidi ya propaganda chafu na kutangaza mazuri ya taifa letu kwenye majukwaa ya ughaibuni. Kwangu mimi JF Foreign Dignitary Award of the Year goes to Geza Ulole.

Kundi la mwisho ni kundi la maripota bora wa mwaka. Watu hawa wametuhakikisha kauli ya be the first to know kama ilivyoada yetu. Tuzo hii pia naomba iende kwa live coverage reporter wa mwaka. Am honoured to nominate Mwanahabari Huru kama best reporter of the Year na mwanaJF Francis12 kwenye category ya live coverage reporter of the Year.

Wa mwisho kabisa ni mwanaJF aliyeimpact maisha ya wanaJF na Watanzania kuondokana na umasikini na kuingia kwenye ujasiriamali. Yupo mwanaJF ambaye alitumia platform hii kuhubiri ujasiriamali na kufundisha ujasiriamali kwa vitendo. Mjasiriamali huyu leo hii ameunganisha mamia ya WanaJF na jamaa zao kufungua makampuni na kuwekeza kwenye kilimo, ufugaji na mazao ya misitu. I am humbled to represent JF Entrepreneur of the Year Mr. Malila


Ombi langu kwa uongozi wa JF kama mna funds ningependelea muwaaward members hawa kwa mchango wao uliotukuka.
hivi mbona mnamsahau jamaa mmoja anaitwa barafu ?
 
Upande wangu PASCO ajiitaye wa Jamii forum. Katoa mada nyingi na kuchangia nyingi kwa ufasaha zaidi.
Pia mshana Junior kwenye majukwaa mengine gupo vizuri lkn ana stori za kutishana sana kuhusu uchawi japo huonyesha nayevana uelewa mkubwa sana wa mambo mengi.
 
duh hujawataja swahiba zako

Iceman 3D na hance mtanashati

[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Apo kama mimi atakuwa kanitaja tu ila sistahili.

Wewe na supermarket ilifaa muwepo pia
 
Mkuu tayari nimewaongeza kwenye list members wa ukweli, majembe ya JF.
*Hance Mtanashati
*Iceman 3D ...siasa za Trump[emoji1] [emoji1]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Bob kumbe umetuweka kwenye nyongeza!!
Mi sistahili hata kuepo hapo
 
Back
Top Bottom