Hahahahah atajua hajui sio 😹😹😹 maana tukisema watanzania bila pipe range hawaendi tunaonekana hatuna akili! Haya wacha tuone kama kuwabembeleza itafua dafumama si alisema hata makampuni yaliyokubaliana na magufuri yameshaanza kumkazia..mama inabidi aelewe kua hizi kazi chafu ila lazima mtu azifanye...kujifanya yeye msafi na magu mchafu atajua hajui...hao hao anaooona ndo watu wake watamwonesha mji
Hahahah ili pesa zije watu washafanya yao 😸😸😸 kitaa kitapendeza soonNa bado!
Yajayo yanakeraa!
Ukiona mtanzania anakusifia ujue wewe ni bwege.
Mama wameanza kumpamba kabla hajafanya chochote ili wambutue watakavyo.
Ila poa tu, si tulikubaliana kuwa tunataka pesa mtaani? Hii ndio njia ya haraka na makini ya kuzileta mtaani.
Tuache fikra za hujuma kila siku,kila mahaliKwani mwendazake alipokuwa anasema hii inchi watu wameichezea sana hamkumuelewa haya eleweni sasa mwendazake kaenda watu washaanza ichezea
Were unazani hizo pesa wanazokisanya katika vituo vya tanesco kuuza umme zitaenda zote serikalini upigaji na uhuni umeaanza watu wanataka washike pesa cash mambo ya mifumo mifumo inawachelewesha sana
Tunazungumzia umeme wa luku, wewe unakopi na kupaste magazeti ya mwaka arobaini na saba just because yanamtaja Mwendazake negatively! Chadema kwa think tank za watu aina yako haiwezi kupiga hatua yoyote.Hakuna Mtanzania aliyeiibia nchi hii kama dhalimu magufuli. View attachment 1791251
Tuanzie hapo..Kama Kuna kikundi kinapanga kumuhujumu mama...waache Mara moja kwani ninaamini vyombo vya ulinzi na usalama vipo macho..na havitakubali amiri jeshi mkuu ahujumiwe kwa namna yoyote ile..Huyu anayeingilia hii mifumo kumhujumu mama Samia ni nani na qnataka nn na ana nguvu kiasi gn? na lengo lake nn nn
Sasa ni kipindi cha viongozi kugawana mbao,mabati,fito nkHuyu anayeingilia hii mifumo kumhujumu mama Samia ni nani na anataka nini na ana nguvu kiasi gani? na lengo lake ni nini?
"Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea"TISS si wapo? Au kazi yao iliishia kweye kuiba kura?
Hii njemba inateseka mno na kivuli cha Magu...Hakuna Mtanzania aliyeiibia nchi hii kama dhalimu magufuli. View attachment 1791251
Mama hawajui wabara huyu...Aendelee kuwaambia watumishi NAWAOMBA SANA...
CrapHakuna Mtanzania aliyeiibia nchi hii kama dhalimu magufuli. View attachment 1791251
Ukicheka na kima lazima uvune mabuamama awe mkali urais ni kazi ya lawama, awatoe watu mfano ndio wataelewa anamaanisha. wengine zile kauli nawaomba ndugu zangu ni kama wamepata ruksa ya kufanya mambo yao.
Unafikiri hawajui!!??Tatizo Tanzania tumekaa kwenye ujinga wa Kutowekeza kwenye ICT . Lazma kuwa na servers za kisasa na kubwa .
Bahati mbaya tuna viongozi wa last century in21 century.
BAK huwa ni zuzu tuTunazungumzia umeme wa luku, wewe unakopi na kupaste magazeti ya mwaka arobaini na saba just because yanamtaja Mwendazake negatively! Chadema kwa think tank za watu aina yako haiwezi kupiga hatua yoyote.
Akisema lolote mwendazake atageuka kaburini? Acheni lile jamaa lipumzike, limetesa sana raia wema...Nikili wazi SAMIA HATUFIKISHI POPOTE kwa mwendo huu LUKU TOKA J3 HADI LEO ALHAMIS WATU WAKO GIZANI RAIS YUPO TU hasemi lolote
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Alitesa mijizi na miuza unga.....Akisema lolote mwendazake atageuka kaburini? Acheni lile jamaa lipumzike, limetesa sana raia wema...