Ni nani anayeingilia hii mifumo ya Taasisi nyeti za Nchi? TRA, TPA, TANESCO na ana malengo gani?

Ni nani anayeingilia hii mifumo ya Taasisi nyeti za Nchi? TRA, TPA, TANESCO na ana malengo gani?

Mwendazake kaacha kizazi cha ajabu sana. Kizazi kinachoamini katika ubabe, roho mbaya na kumuona kila mtu adui. Hii ni akili ya kikoloni tu ambayo sukuma gang imewajaa vichwani.
Majungu sio mtaji useme uuze utajirikeee ~ banza stone
 
Tatizo Tanzania tumekaa kwenye ujinga wa Kutowekeza kwenye ICT . Lazma kuwa na servers za kisasa na kubwa .
Bahati mbaya tuna viongozi wa last century in21 century.
Mbona ile mitano iliyopita haya mambo hayakuwepo?!.hizo servers za taasisi kubwa zinazohusu mapato ya kifedha zimeanza kuwa za kizamani baada ya chuma kwenda zake.

Kuwa kiongozi,na kuumudu uongozi ni vitu viwili tofauti.

Inawezekana mwendazake alikuwa na makosa kwenye baadhi ya mambo ,lakini aliumudu uongozi.

Huyu bi mkubwa huyu.... nnhiiii...
 
Naona watu walishaisahau Tanzania na mambo ya kiTanzania...

Wakati wa mwendazake mkajiona kama mshakuwa 'dona kantri', mkasahau ushenzi wote huanza na tabia na tabia za mtu mweusi huwa hazibadiliki hata akizaliwa Ulaya...
 
Alitesa mijizi na miuza unga.....
ww ni jizi au uza ngada manake hayo ndio yanalia kwa sauti kuu.Pole sana kwa kichapo
Na nado mtalia sana. Ndo tushaliua hivyo, kazi inaendelea. Kama vipi unaweza kulifuata...
 
Wabongo noma sana ukiwa mpole wanakuita bongo lala,wanafanya wanavyo taka,ukiwa mkali wanakuita dikteta.
Bora dikteta aseeh yaani juzi nimelala Giza na pesa nnayo Jana umeme nimetumiwa saa tano tena kutoka Singida na hapo kuna mtu yuko ndani Tanesco namjua la sivyo ningelala giza yaani pale Kinondoni kwa Manyanya mpk watu wanapigana kisa Luku...!!!ku
 
Kwani mwendazake alipokuwa anasema hii inchi watu wameichezea sana hamkumuelewa haya eleweni sasa mwendazake kaenda watu washaanza ichezea

Were unazani hizo pesa wanazokisanya katika vituo vya tanesco kuuza umme zitaenda zote serikalini upigaji na uhuni umeaanza watu wanataka washike pesa cash mambo ya mifumo mifumo inawachelewesha sana
Kila siku pale UDART kituo cha Kimara, kila siku kuanzia saa moja kasoro jioni/usiku, umeme unakatika ila kwengineko upo...yaani tukipita ni giza na mziki mnene ... Huenda muda huo wanajichotea pesa za kuondoka nazo
 
Jamaa kawaachia sana....
nyie ilitakiwa mpigwe bomba hadharani...
Kabla hajaweza tukamuwaisha. Msukuma ana ujanja gani mjini? Sasa tulieni tule mema ya nchi...

Kama vipi jitundikeni mumfuate...
 
Bora dikteta aseeh yaani juzi nimelala Giza na pesa nnayo Jana umeme nimetumiwa saa tano tena kutoka Singida na hapo kuna mtu yuko ndani Tanesco namjua la sivyo ningelala giza yaani pale Kinondoni kwa Manyanya mpk watu wanapigana kisa Luku...!!!ku
Usiwe unanunua umeme wa buku 2 wakati saluni unasuka kwa elfu 50.

Nakusalimia tu ticha wangu
 
mama si alisema hata makampuni yaliyokubaliana na magufuri yameshaanza kumkazia..mama inabidi aelewe kua hizi kazi chafu ila lazima mtu azifanye...kujifanya yeye msafi na magu mchafu atajua hajui...hao hao anaooona ndo watu wake watamwonesha mji
Alisema wapi hayo maneno ??
 
Kwani mwendazake alipokuwa anasema hii inchi watu wameichezea sana hamkumuelewa haya eleweni sasa mwendazake kaenda watu washaanza ichezea

Were unazani hizo pesa wanazokisanya katika vituo vya tanesco kuuza umme zitaenda zote serikalini upigaji na uhuni umeaanza watu wanataka washike pesa cash mambo ya mifumo mifumo inawachelewesha sana
SSH sio mtu wa show off,sio mtu wa kufanya kazi public kama hayati mzee wenu

Lakini pia kwanini usizielekeze hizi lawama kwa wizara husika na badala yake wazipeleka moja kwa moja kwa raisi,yaani raisi adeal na masuala ya luku SERIOUS IDIOT

Hivi kangi lugola alirudisha lile fungu alilopiga kwa HAYATI?
 
Labda mifumo hii imedukuliwa na Hackers wa Urusi na Ukraine huko. Lazima kulipa ransom tena kupitia Bitcoin. Wamarekani juzi hapa mfumo wa bomba lao la mafuta umedukuliwa na imewabidi kulipa dola milioni 4.5. Sisi hata wakiwa wamedukuliwa hawatasema na watalipa ransom kimya kimya!
 
Huyu anayeingilia hii mifumo kumhujumu mama Samia ni nani na anataka nini na ana nguvu kiasi gani? na lengo lake ni nini?
Wateuliwa wa meko
Wana hasira hawataki mama aende kinyume na misimamo ya meko
Siku watakunya mlangoni pale ikulu

Wewe muache aendelee kuwakumbatia

Siku
 
Tatizo Tanzania tumekaa kwenye ujinga wa Kutowekeza kwenye ICT . Lazma kuwa na servers za kisasa na kubwa .
Bahati mbaya tuna viongozi wa last century in21 century.
Niliweka Uzi hapa kuonyesha uzembe wa taasisi kubwa kama tanesco kutokuwa na alternatives kwenye mifumo yao wakaupiga chini ila ulikuwa utabiri tuu yametimia
 
Na bado!
Yajayo yanakeraa!
Ukiona mtanzania anakusifia ujue wewe ni bwege.
Mama wameanza kumpamba kabla hajafanya chochote ili wambutue watakavyo.
Ila poa tu, si tulikubaliana kuwa tunataka pesa mtaani? Hii ndio njia ya haraka na makini ya kuzileta mtaani.
Watambutua sanaaa
 
Back
Top Bottom