Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
HahahaWabongo noma sana ukiwa mpole wanakuita bongo lala,wanafanya wanavyo taka,ukiwa mkali wanakuita dikteta.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahaWabongo noma sana ukiwa mpole wanakuita bongo lala,wanafanya wanavyo taka,ukiwa mkali wanakuita dikteta.
Incompetence,nothing else.Huyu anayeingilia hii mifumo kumhujumu mama Samia ni nani na anataka nini na ana nguvu kiasi gani? na lengo lake ni nini?
Lengo watu wamuone maza hafai na amefanikiwa kiasiHuyu anayeingilia hii mifumo kumhujumu mama Samia ni nani na anataka nini na ana nguvu kiasi gani? na lengo lake ni nini?
Lengo watu wamuone maza hafai na amefanikiwa kiasiHuyu anayeingilia hii mifumo kumhujumu mama Samia ni nani na anataka nini na ana nguvu kiasi gani? na lengo lake ni nini?
Majungu sio mtaji useme uuze utajirikeee ~ banza stoneMwendazake kaacha kizazi cha ajabu sana. Kizazi kinachoamini katika ubabe, roho mbaya na kumuona kila mtu adui. Hii ni akili ya kikoloni tu ambayo sukuma gang imewajaa vichwani.
Mbona ile mitano iliyopita haya mambo hayakuwepo?!.hizo servers za taasisi kubwa zinazohusu mapato ya kifedha zimeanza kuwa za kizamani baada ya chuma kwenda zake.Tatizo Tanzania tumekaa kwenye ujinga wa Kutowekeza kwenye ICT . Lazma kuwa na servers za kisasa na kubwa .
Bahati mbaya tuna viongozi wa last century in21 century.
Na nado mtalia sana. Ndo tushaliua hivyo, kazi inaendelea. Kama vipi unaweza kulifuata...Alitesa mijizi na miuza unga.....
ww ni jizi au uza ngada manake hayo ndio yanalia kwa sauti kuu.Pole sana kwa kichapo
Jamaa kawaachia sana....Na nado mtalia sana. Ndo tushaliua hivyo, kazi inaendelea. Kama vipi unaweza kulifuata...
Bora dikteta aseeh yaani juzi nimelala Giza na pesa nnayo Jana umeme nimetumiwa saa tano tena kutoka Singida na hapo kuna mtu yuko ndani Tanesco namjua la sivyo ningelala giza yaani pale Kinondoni kwa Manyanya mpk watu wanapigana kisa Luku...!!!kuWabongo noma sana ukiwa mpole wanakuita bongo lala,wanafanya wanavyo taka,ukiwa mkali wanakuita dikteta.
Kila siku pale UDART kituo cha Kimara, kila siku kuanzia saa moja kasoro jioni/usiku, umeme unakatika ila kwengineko upo...yaani tukipita ni giza na mziki mnene ... Huenda muda huo wanajichotea pesa za kuondoka nazoKwani mwendazake alipokuwa anasema hii inchi watu wameichezea sana hamkumuelewa haya eleweni sasa mwendazake kaenda watu washaanza ichezea
Were unazani hizo pesa wanazokisanya katika vituo vya tanesco kuuza umme zitaenda zote serikalini upigaji na uhuni umeaanza watu wanataka washike pesa cash mambo ya mifumo mifumo inawachelewesha sana
Kabla hajaweza tukamuwaisha. Msukuma ana ujanja gani mjini? Sasa tulieni tule mema ya nchi...Jamaa kawaachia sana....
nyie ilitakiwa mpigwe bomba hadharani...
Usiwe unanunua umeme wa buku 2 wakati saluni unasuka kwa elfu 50.Bora dikteta aseeh yaani juzi nimelala Giza na pesa nnayo Jana umeme nimetumiwa saa tano tena kutoka Singida na hapo kuna mtu yuko ndani Tanesco namjua la sivyo ningelala giza yaani pale Kinondoni kwa Manyanya mpk watu wanapigana kisa Luku...!!!ku
Alisema wapi hayo maneno ??mama si alisema hata makampuni yaliyokubaliana na magufuri yameshaanza kumkazia..mama inabidi aelewe kua hizi kazi chafu ila lazima mtu azifanye...kujifanya yeye msafi na magu mchafu atajua hajui...hao hao anaooona ndo watu wake watamwonesha mji
SSH sio mtu wa show off,sio mtu wa kufanya kazi public kama hayati mzee wenuKwani mwendazake alipokuwa anasema hii inchi watu wameichezea sana hamkumuelewa haya eleweni sasa mwendazake kaenda watu washaanza ichezea
Were unazani hizo pesa wanazokisanya katika vituo vya tanesco kuuza umme zitaenda zote serikalini upigaji na uhuni umeaanza watu wanataka washike pesa cash mambo ya mifumo mifumo inawachelewesha sana
Wateuliwa wa mekoHuyu anayeingilia hii mifumo kumhujumu mama Samia ni nani na anataka nini na ana nguvu kiasi gani? na lengo lake ni nini?
Niliweka Uzi hapa kuonyesha uzembe wa taasisi kubwa kama tanesco kutokuwa na alternatives kwenye mifumo yao wakaupiga chini ila ulikuwa utabiri tuu yametimiaTatizo Tanzania tumekaa kwenye ujinga wa Kutowekeza kwenye ICT . Lazma kuwa na servers za kisasa na kubwa .
Bahati mbaya tuna viongozi wa last century in21 century.
Watambutua sanaaaNa bado!
Yajayo yanakeraa!
Ukiona mtanzania anakusifia ujue wewe ni bwege.
Mama wameanza kumpamba kabla hajafanya chochote ili wambutue watakavyo.
Ila poa tu, si tulikubaliana kuwa tunataka pesa mtaani? Hii ndio njia ya haraka na makini ya kuzileta mtaani.