Ni nani anayeingilia hii mifumo ya Taasisi nyeti za Nchi? TRA, TPA, TANESCO na ana malengo gani?

Hahahahah atajua hajui sio 😹😹😹 maana tukisema watanzania bila pipe range hawaendi tunaonekana hatuna akili! Haya wacha tuone kama kuwabembeleza itafua dafu
😂

Eti pipe range! Kwaiyo watanzania bila mijeledi awakuelewi kabisa.

Nahisi tutakuwa na VINASABA vya kipunda punda 😂
 
Waweza kuta ni kijana aliyesomea IT au Comouter Engineerjng na ana hasira hajapata ajira ndiyo anafanya hizi mambo
 
Lazima zitaenda hazina.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna Mtanzania aliyeiibia nchi hii kama dhalimu magufuli. View attachment 1791251
Yaani kenge unahangaika sana .... unadhani enzi hizo Karugenda, Mjengwa na Ulimwengu walikuwa wanakupa habari za kweli tupu? Umejikita kiuchochezi ...unahangaika kila uchao...JPM anaishi nawe kila ukifumbua jicho utamwona.
 
Serikali ya awamu ya 2015 mpaka 2020 ilitengeneza mifumo mbalimbali imara ambayo ilizuia upotevu wa mapato TRA, TPA, TANESCO, kila sehemu.

Hivyo mimi kwa uelewa wangu bila ushabiki wanaoharibu mfumo ni wale ambao hawakuubali wala kuupenda mfumo.

Siwezi kusema kwamba kuna watu wanatakiwa kutolewa hiyo sio kazi yangu. Ila nachoweza kusema mifumo yote ya fedha iliyotumika kukusanya mapato 2015 - 2020 ndio inayotumika katika nchi zilizoendelea kwasasa ili kuzuia leakage ya mapato serikalini.

Mifumo hiyo ikiharibiwa au kuingiliwa mapato mengi yanaweza kupotea.
 
Watu wanalilia pesa irudi mtaani, sasa cha ajabu nini hapo?
 
Matokeo nchi inakaa gizani siku tatu?
 
Huyu anayeingilia hii mifumo kumhujumu mama Samia ni nani na anataka nini na ana nguvu kiasi gani? na lengo lake ni nini?
Huyu anaweza kuwa na nia njema: kumtoa matongotongo ili atazame kwa macho yake mwenyewe
 
Nikili wazi SAMIA HATUFIKISHI POPOTE kwa mwendo huu LUKU TOKA J3 HADI LEO ALHAMIS WATU WAKO GIZANI RAIS YUPO TU hasemi lolote.

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile a
Unaongea kwa mihemko tu ya kukosa tamthilia unayoifuatilia baada ya kukosa umeme, wala huna ushahidi wa kututhibitishia kuwa mama hawezi kutufikisha popote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…