warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
wenzangu karibuni jukwaani aka bungeni tujadili kwanza suala la aka katoto kadogo jinsi kanavyokuja kwa kasi mujini, nani anayempa jeuri ya matanuzi ya kutisha mjini? Maana bata anazokula huyu mtoto si mchezo jamani, nachunguliaga insta yake naona mmh mtoto si haba uzuri tu anao ,warumi na umbea wangu wote sijajua chochote bado kuhusu underground aka zari mtoto