Ni nani anayempa jeuri ya pesa Tunda wa Young Dee?

Ni nani anayempa jeuri ya pesa Tunda wa Young Dee?

Kwahiyo mkuu na wewe unakataka haka katoto .........Unaweza kumpa maisha niliyomuandalia mimi .............. maana nimepanga kila atakapokutana na mimi basi 10m zinamuhusu.
Yah nitamgharamikia kadri niwezavyo namkubali saaaaaana yaan
 
Hivi hivi vibinti vinavyofanya hivi havina wazazi,
Ndugu, wajomba, shangazi n.k?
Na huwa wanawachukuliaje hawa mabint wa aina hii...
Yaani sipati picha familia zao wataleaje...
Ukweli ni kuwa hata wakiolewa hawadumu, huachika mara nyingi sana na huolewa hata bila kubariki ndoa!!
 
daah, huu uzi kunamtu sijamuona akichangia. Mtu wa kuitwa NIFAH namkubali sana kwa umbea huyu mtu japo haya sio majukwaa yangu. Ila much respect kwa wazee wa ubuyu.
 
View attachment 399645Wambea wenzangu karibuni jukwaani aka bungeni tujadili kwanza suala la aka katoto kadogo jinsi kanavyokuja kwa kasi mujini, nani anayempa jeuri ya matanuzi ya kutisha mjini? Maana bata anazokula huyu mtoto si mchezo jamani, nachunguliaga insta yake naona mmh mtoto si haba uzuri tu anao ,warumi na umbea wangu wote sijajua chochote bado kuhusu underground aka zari mtoto
Nimesoma ila sijamfahamu,muwe mnajifunza namna ya kuandika title!Mnakuwa kama darasa la kwanza bhana
 
Back
Top Bottom