Ni nani anayempa jeuri ya pesa Tunda wa Young Dee?

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440


wenzangu karibuni jukwaani aka bungeni tujadili kwanza suala la aka katoto kadogo jinsi kanavyokuja kwa kasi mujini, nani anayempa jeuri ya matanuzi ya kutisha mjini? Maana bata anazokula huyu mtoto si mchezo jamani, nachunguliaga insta yake naona mmh mtoto si haba uzuri tu anao ,warumi na umbea wangu wote sijajua chochote bado kuhusu underground aka zari mtoto
 
Hahaaaaaaa duller psquare kule insta kahararisha vibaya sana kuhusu huyu kichemchede
 
Huyo mtoto namuelewa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…