Ni nani anayempa jeuri ya pesa Tunda wa Young Dee?

Kwahiyo mkuu na wewe unakataka haka katoto .........Unaweza kumpa maisha niliyomuandalia mimi .............. maana nimepanga kila atakapokutana na mimi basi 10m zinamuhusu.
Yah nitamgharamikia kadri niwezavyo namkubali saaaaaana yaan
 
Hivi hivi vibinti vinavyofanya hivi havina wazazi,
Ndugu, wajomba, shangazi n.k?
Na huwa wanawachukuliaje hawa mabint wa aina hii...
Yaani sipati picha familia zao wataleaje...
Ukweli ni kuwa hata wakiolewa hawadumu, huachika mara nyingi sana na huolewa hata bila kubariki ndoa!!
 
daah, huu uzi kunamtu sijamuona akichangia. Mtu wa kuitwa NIFAH namkubali sana kwa umbea huyu mtu japo haya sio majukwaa yangu. Ila much respect kwa wazee wa ubuyu.
 
Nimesoma ila sijamfahamu,muwe mnajifunza namna ya kuandika title!Mnakuwa kama darasa la kwanza bhana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…