Ni nani anayempa jeuri ya pesa Tunda wa Young Dee?

Hivi mi nashangaa huyu mtoto mdg inakuwaje amemshindwa kweli
????[emoji15] [emoji15]
Wazazi saa zingine lawama lzm ziturudie...
Mimi huyu nimgemtia jela...nimzae anishindwe[emoji15]
Tema mate chini

Hawa wa kizazi hiki ni majanga matupu!
 
aiseeehh!
jf ndo kila kitu
 
Tema mate chini

Hawa wa kizazi hiki ni majanga matupu!
Hatutakiwi kuwachekea lkn ht km ni kizazi hiki..hakuna mtt anayezaliwa kashindikana..mazingira tunayo wapa ndio yanawapa jeuri..mtt mkunje angali mbichi[emoji13]
 
daah, huu uzi kunamtu sijamuona akichangia. Mtu wa kuitwa NIFAH namkubali sana kwa umbea huyu mtu japo haya sio majukwaa yangu. Ila much respect kwa wazee wa ubuyu.
Hahaa huku kuna mtu umemsindikiza au?
 
Me naonaga caption zake tu nasema hayaaaaa! Utaskia "deal closed" au ni "deal done" nabaki najiuliza hivi me nilitoka wapi kuja kusubiri mshahara wa magu wa baada ya siku 30 nisiwe napiga madeal lakini??
 
Hivi mi nashangaa huyu mtoto mdg inakuwaje amemshindwa kweli
????[emoji15] [emoji15]
Wazazi saa zingine lawama lzm ziturudie...
Mimi huyu nimgemtia jela...nimzae anishindwe[emoji15]
Muombe Mungu sana, unatia ndani ana "close deal" na mkuu wa magereza kesho yake unamuona insta, lazima upakumbuke leba.
 
[emoji30][emoji30]jamani she is too young kwa usambazi umeme bwana me staki
 
Alafu ukisha mjua wewe atakusaidia nini labda?? Jishugulishe acha habari za kufatilia mambo ya watu
 
Me naonaga caption zake tu nasema hayaaaaa! Utaskia "deal closed" au ni "deal done" nabaki najiuliza hivi me nilitoka wapi kuja kusubiri mshahara wa magu wa baada ya siku 30 nisiwe napiga madeal lakini??
Aaah Ana deal chafu mwenzenu, anauza maku na tigo
 
Mwisho wake lazima atatumia unga a.k.a poda tupo mda utasema hii ndo bongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…