Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 9,397
- 12,415
Matendo ya zamani yanabaki ni makosa mbele za Mkono wa sheria hata kama ukiamua kuanza kufuata sheria leo.
Kwa kusema hivyo kumbe mtu yeyote akiamua kuanza kuishi kwa kufuata sheria leo, makosa aliyoyafanya jana bado yanamhukumu.
Ndio maana watu huomba msamaha kwanza ili wapate kusamehewa makosa yao yote ya nyuma.