Ni nani au kampuni gani iliyotengeneza App ya Cheka Plus? Ya wale jamaa wa Cheka Tu?

Ile app kwenye upande wa malipo tu ndo iko vizuri ila kwenye contents ni upuuzi, ukiingia hujui content mpya ni ipi ya zamani ni ipi. Wangeweka hata feature ya kusort tungewaelewa...... Pia iko slow sana kwenye kuload contents zake.

Ni idea nzuri, bwana Coy Mzungu anapaswa kuiboresha app yao na kuiupdate na contents mpya kila wanapofanya show. Ni huzuni umelipia ila kwenye app huoni kitu, shows unazikuta YouTube na TikTok bure.
 
Sijui kwanini linapokuja suala la Tech tunakuwa slow kiasi hikii😔
 
Natamani kujua bongo ni kampuni gani inayotengeneza Apps vizuri.
Kwenye Tehama ni ngumu sana kupima ubora wa kitu maana wanao jua kutengeneza mionekano ni wengi kuliko wanao tengeneza ufanisi wenye kieleweka

Karibu Jiku Tech Tips Mobile App Development na Web Development. 0682329852 just Google Jiku Tech Tips kufuatilia zaidi

Customization ya Blogger pia kufanya Blogger ionekane kama professional website kama skytraxtz.com na jishamconstruction.co.tz
 
Back
Top Bottom