Ni nani Baba wa mtoto wa Irene Uwoya kwa sasa?

Ni nani Baba wa mtoto wa Irene Uwoya kwa sasa?

Yeye ni wa kwanza kusuka rasta?

Umeshuhudia akitinda nyusi?
Kwahiyo ata Kama sio wa kwanza kusuka rasta unaona sawa sio ?
Mtoto akiwa mwizi mama mtoto hatakiwi kukanywa kwa vile yeye sio wa kwanza kuwa mwizi?
Lazima mtu aonywe na sio kuanza kulinganisha makosa.

Halafu inaonesha unachukulia kawaida sana mtoto wa kiume kusukwa sukwa na sishangai ipo siku utakuja kuona kwaida mtoto wa kiume akishikwa matako, single mother mnaharibu sana watoto
Screenshot_20210501-184511.png
 
Kwahiyo ata Kama sio wa kwanza kusuka rasta unaona sawa sio ?
Mtoto akiwa mwizi mama mtoto hatakiwi kukanywa kwa vile yeye sio wa kwanza kuwa mwizi?
Lazima mtu aonywe na sio kuanza kulinganisha makosa
Mkuu, Rastafarian livity unaifahamu?

Tia neno kuwahusu na nywele za watoto wao. Na wao tuwaweke kwenye kundi hili?
 
Sister karucee uyo Irene uwoya na huo Rastafarian wapi wapi?
Refer to swali lako la kwanza. Seemingly kusuka ndo issue ndo maana nikakuuliza ni nywele kwa wote ama that specific child.
 
Kuna mtu mmoja anapiga ngeli humu. I wish angeniazima next week nitimbie kwenye interview NGO flani hivi. Sema ndio hivo nitatimba na hii hii yenye plasta plasta..
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Sema ngeli mtihani. Jana nilikua kwenye interview na mtu aiseee mpaka nilikua namuonea huruma nikamwambia tu tuongee lugha yetu pendwa si lazima kimalkia.
 
Huyu mtoto anaweza kuwa ni "intergender", kwa maana ana jinsia za kiume na za kike. Hawa watu wapo katika jamii zote. Lbda ndiyo sababu za jina lake la kihindi "Krishna"? Sitoshangaa baba yake labda alikufa kwa presha baada ya stress zote za kuzaa mtoto mwenye jinsia mbili, au labda kwa lugha nyingine, maumbile ya kike na ya kiume?.
 
Amfanye mtoto wake wa kiume awe na misuli na mkakamavu huo ndio uanaume, asimpake poda na lotion
Na yule mtoto wa Diamond na Hamisa Mobetto anaelekea hukohuko. KIla siku ni poda na pozi ili mtoto aonekane vizuri insta. Katoto kameshaanza kulegea kama mtoto wa kike ukikaangalia vizuri
 
Mtoto wa ajabu kwelikweli, mbantu gani anampa mwanaye jina la mungu wa Wahindi?
 
Lazima aokote mwanamme Ili mtoto apate father figure? Hana wajomba, Hana Babu, Hana Baba wadogo?

Mtoto kosa lake ni kipi katika 'ukweli' wako?

Furthermore kumbe hujanielewa nilipokuambia am not any of those things you assumed.

I guess am wasting time arguing with a lunatic.
Achana nae huyo madame...anaonekana ana stress
 
View attachment 1766743
View attachment 1769950


Nikimuangalia vizuri huyu mtoto wa Irene Uwoya ni wazi ana hitaji kuwa na baba kama sio baba au uncle maana ni wazi huyu mtoto kwa anavyo lelewa lazima atakuja kusahau kuwa yeye ni mwanaume!

Uwoya anamlea huyu mtoto kama mtoto wake wa kike au shosti yake kabisa!
Ina maana Harmonize au Mbosso wameshindwa kuwa baba wa huyu mtoto?
Wasalaam....

View attachment 1769953
Huyo huwezi kumtuliza matajiri wengi wameshindwa Ana "utoto" mwingi
 
Back
Top Bottom