kilwakivinje
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 6,184
- 9,407
Nimekaona haka kajamaa mahali and I'm confident enough to say this kid is lost.
Dunia ni ulimwengu wa wanaume na mwanamke hana chochote cha kumfundisha mtoto wa kiume ili aje kupambana kwenye huu uliwengu mchafu, usio na haki wala huruma plus udhurumishi na ukatili you either fight or die.
Wanawake ni wanawake tu haijalishi kama anabeba vyuma au anajiita superwowan and shit.
na ndio maana huwezi kuta mwanamke anaenda vitani kupambana na wanaume bali wanaume watapambana na wanaume, na mwenye nguvu ndio atakaa juu sababu kila mwanaume anataka kuwa kiongozi.
Wanawake ni dhaifu na huo ndio ukweli hivyo kamwe hatoweza kulea mtoto wa kiume mpaka aje kuwa mwanaume.
This is a man world and this kid is going to the wrong way.
Anayeweza kunipinga ajitokeze nimchakaze.
Send me a location