Ni nani hasa huitumia ndege ya Rais wetu 5H- ONE Gulfstream G550 maana inaonekana ikizurula tu mikoani na kupaki Zanzibar?

Kwa kuwa inatumia na serikali basi itakuwa ni matumizi sahihi kwa maslahi ya wananchi. Tuwaamini viongozi wetu ila nao wawe na imani na sisi. Hata ukiwa ofisini ukijua unaaminiwa,inakuwa ni motisha kwa uadilifu.
 
Unajenga picha ya kwamba Madini yanatoroshwa kwa kupitia ndege binafsi ya Raisi? Na kusafirishwa nje kupitia zanzibar?
Daah, aisee mbona kama hii theory imekaa vizuri sana, kusanya madini Mwanza na Arusha, peleka Zenji, torosha, tumekwisha..!! Imebaki kuiuza Ngorongoro tu kwa waarabu
 
Wadanganyika tunapigwa na vitu vizito kichwani kila uchwao uku kwenye vichwa majanga matupu vichwa uku ndege ya rais inatumika uku rais' si mtumiaji duuu[emoji854]
 
Bila mzungu madini utayafanyia nini

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Nakumbuka enzi zile ilipelekwa Madagaska kubeba maboksi ya dawa ya corona[emoji205]

View attachment 2128202
Ku mbe ndio hiyi mbona ya hovyo yaani rais anatumia hili jeneza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] HApana kwa kweli si kibanda cha kufugia njiwa hiki jamani
Ndege ya rais ndege ya rais kumbe ndio likibanda hili hivi inakabiliana vp na upepo wa huko juu [emoji20][emoji20][emoji24][emoji24]
 
hapo lazima tufuatilie kwann,inaonekana kulala zbar Mara kwa Mara!!? Halafu root zenyewe niza maeneo potential kwa madini,ndovu n.k. final destination ya hii ndege kulala ni eidha dar au Dodoma ,maana ndiko ikulu ziliko. huko zbar vipi tena!!??

tunashindiliwa vitu vizito vichwani watz.
 


Bila umakini tutakuja kuwa kama hawa wa Nauru Tiny Country ambao walipata kuwa nchi tajiri kuliko zote duniani na sasa wanaugulia maumivu
 
imekuwa kama enzi za Mwinyi sr. na mke wake mfanyabiashara ya madini
Duh huyu Mzee na Mama Sitti kweli walifanya yao ingawa leo watu wanajifanya kusahau...., Nadhani neno Ikulu kuwa Pango la Walanguzi huyu mzee / mama alilitendea Haki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…