Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,205
- 33,287
Tv zipo zenj toka 1915Kabla ya muungano Zanzibar walishakuwa na televisheni.
Tanganyika tulikuwa na radio ya " mkulima"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tv zipo zenj toka 1915Kabla ya muungano Zanzibar walishakuwa na televisheni.
Tanganyika tulikuwa na radio ya " mkulima"
Mganda Yule.. .Labda komandoo Salmini maana ameoa uchaggani!
Daah, aisee mbona kama hii theory imekaa vizuri sana, kusanya madini Mwanza na Arusha, peleka Zenji, torosha, tumekwisha..!! Imebaki kuiuza Ngorongoro tu kwa waarabuUnajenga picha ya kwamba Madini yanatoroshwa kwa kupitia ndege binafsi ya Raisi? Na kusafirishwa nje kupitia zanzibar?
Lini umelipa?, Usikute wewe mkwepa kodi mashuhuri,,Convert monetary value ya wakati huo na sasa!
= USD 400 m!
Deni lake tungali tunalipa hadi keshokutwa asubuhi!
Bila mzungu madini utayafanyia niniHuwa najiuliza sana tangu lini mzungu akawa rafiki yako wa kweli, Mwalimu Nyerere alishawahi sema mzungu sio mjomba wako akupe pesa bure pasipo kutaka kitu ndio maana nilihoji hizo pesa grants ni nchi ngapi wanahizitaji kuliko Tanzania? Sasa mpaka kupewa huwenda kuna makubaliano ambayo hayawekwi wazi kwa watanzania.
Ku mbe ndio hiyi mbona ya hovyo yaani rais anatumia hili jeneza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] HApana kwa kweli si kibanda cha kufugia njiwa hiki jamaniNakumbuka enzi zile ilipelekwa Madagaska kubeba maboksi ya dawa ya corona[emoji205]
View attachment 2128202
mmachame alishambwaga kitambo alipoona mzee macho hayaoni Mara kisukari akasepa zake Oman sijuiLabda komandoo Salmini maana ameoa uchaggani!
Hafidhi ana nafasi gani nchi hii?Mzee Hafidhi ndio anaitumia.
Una swali lingine?
Hii ndege ya rais iliyonunuliwa kwa bei ya $40,000,000 kwa nini haikutumika kumpeleka rais Belgium/France na nchi nyingine za magharibi na badala yake inazurura tu mikoani pasipo kuwa na ratiba maalamu.
Sisi walipa kodi tuna haki ya kujua ndege iliyonunuliwa kwa hela zetu kwa nini inazurura kila mahali wakati rais anapanda Air Tanzania au Emirates.
Na kama kuna mtu fulani anaitumia basi tupaswe kumjua, maana isije kuwa inatumika kufanyia biashara za magendo, ama kutumiwa na baadhi ya watu kufanya starehe/ufuska au ndio imekwisha kabidhiwa ramsi kwa Raisi wa Zanzibar kama ndege yake binafsi maana haiwezekani ukiangalia kwenye Flight past history unapata taarifa za ndege hiyo kuzurula sana Kilimanjaro na mikoa mingine ila inarudi kulala zanzibar
Mwenye ufahamu tunaomba atujuze, Nawasilisha.
Hapa chini ni tracking past flight history ya ndege ya Raisi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania.
View attachment 2128144
Ila huyu jamaa kabudi suti ilikuwa inamkuballi sana.
Duh huyu Mzee na Mama Sitti kweli walifanya yao ingawa leo watu wanajifanya kusahau...., Nadhani neno Ikulu kuwa Pango la Walanguzi huyu mzee / mama alilitendea Hakiimekuwa kama enzi za Mwinyi sr. na mke wake mfanyabiashara ya madini
KweliSafari ndefu hivi karibuni ni kwenda na kurudi Ethopia chini ya Makamu wa Rais