Ni nani hasa huitumia ndege ya Rais wetu 5H- ONE Gulfstream G550 maana inaonekana ikizurula tu mikoani na kupaki Zanzibar?

hebu niambie ndugu, hapo ni kipi kilichokufanya ufahamu kua hiyo iliofanya safar hizo ni ndege ya rais
Kwani we hujaona hiyo tracker, na kwann rais hatumii ndege ya rais? Na nani anayeitumia? Na kama anaitumia basi ni hidhini toka kwa rais, mabilioni ya pesa za walipa kodi zimehariba hovyo na pia hiyo ndege inatumika kupora rasilimali za maeneo potential na kuyapeleka zanzibar.
 
hiyo tracker inaonesha wapi kama hiyo ni ndege ya rais na si ndege nyengn?
 
is it backup...?
 
Mkuu umehoji kwa hisia kali
 
Tarehe 12 saa 09:38am ilikuwa Klm/jro na saa 09:59am ikawa Zanzibar, je dakika 20 ndege yaweza kufika Zanzibar?
Nijuavyo kutoka Jro to Znz kwa airbus au dreamliner ni dkk 50 to 55 na pangaboi hadi dkk 60, je hizi taarifa zina ukweli?
Hii ni jet stream[emoji41][emoji41]
 
Hufahamu Kilimanjaro International Airport inagusana na Migodi ya Tanzanite?
Ohoo ok..Kwa hiyoooo KIA inagusana kabisa na wilaya ya simanjiro mkoa wa Manyara mgodini eee…vizuri
 
Duh huyu Mzee na Mama Sitti kweli walifanya yao ingawa leo watu wanajifanya kusahau...., Nadhani neno Ikulu kuwa Pango la Walanguzi huyu mzee / mama alilitendea Haki
Wadanganyika wamekwisha sahau na ndio maana mkwere aliwaambia “” Kelele za mlango hazimyimi usingizi mwenye nyumba “! Wanajua mtapiga mayoweee mwisho mtasahau!
Mwambieni mama asije rudia kufanya Ikulu pango la walanguzi kwa kisingizio cha uwekezaji!!
 
hiyo tracker inaonesha wapi kama hiyo ni ndege ya rais na si ndege nyengn?
Ndege ni kama yalivyo magari, Kuna namba maalum za kutambua. Na zpo wazi
Ila hii mada sichangii, nina Watoto wadogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…