Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukrani mkuu 😂😂😂📌Haitwi mzee
Anaitwa Don Afizi
Umempiga na kitu kizito mleta uziNakumbuka enzi zile ilipelekwa Madagaska kubeba maboksi ya dawa ya corona[emoji205]
View attachment 2128202
Kwani we hujaona hiyo tracker, na kwann rais hatumii ndege ya rais? Na nani anayeitumia? Na kama anaitumia basi ni hidhini toka kwa rais, mabilioni ya pesa za walipa kodi zimehariba hovyo na pia hiyo ndege inatumika kupora rasilimali za maeneo potential na kuyapeleka zanzibar.hebu niambie ndugu, hapo ni kipi kilichokufanya ufahamu kua hiyo iliofanya safar hizo ni ndege ya rais
hiyo tracker inaonesha wapi kama hiyo ni ndege ya rais na si ndege nyengn?Kwani we hujaona hiyo tracker, na kwann rais hatumii ndege ya rais? Na nani anayeitumia? Na kama anaitumia basi ni hidhini toka kwa rais, mabilioni ya pesa za walipa kodi zimehariba hovyo na pia hiyo ndege inatumika kupora rasilimali za maeneo potential na kuyapeleka zanzibar.
Wewe utakuwa ndio pilot wa hiyo ndege nyie endeleeni kula urefu wa kamba zenu.hiyo tracker inaonesha wapi kama hiyo ni ndege ya rais na si ndege nyengn?
hahahahha mkuuWewe utakuwa ndio pilot wa hiyo ndege nyie endeleeni kula urefu wa kamba zenu.
hebu niambie ndugu, hapo ni kipi kilichokufanya ufahamu kua hiyo iliofanya safar hizo ni ndege ya rais
Tech inawaumbua watu sanajieleweshe hapa mkuu hata airforce one unaweza kuiona unatakiwa kuelewa kila ndege ina namba yake ya kipekee
![]()
Live Flight Tracker - Real-Time Flight Tracker Map | Flightradar24
The world’s most popular flight tracker. Track planes in real-time on our flight tracker map and get up-to-date flight status & airport information.www.flightradar24.com
is it backup...?Napata hasira sana kuona ndege hii ambayo ilinunuliwa huku sisi tukiambiwa tutakula nyasi ili Raisi awe anaipanda kwa shughuli zake za kiserikali.
Halafu mwisho wa siku tunaiona ikitumiwa kwa shughuli binafsi kwa faida ya watu wachache, inaumiza sana.
Mkuu umehoji kwa hisia kalihapo lazima tufuatilie kwann,inaonekana kulala zbar Mara kwa Mara!!? Halafu root zenyewe niza maeneo potential kwa madini,ndovu n.k. final destination ya hii ndege kulala ni eidha dar au Dodoma ,maana ndiko ikulu ziliko. huko zbar vipi tena!!??
tunashindiliwa vitu vizito vichwani watz.
Hii ni jet stream[emoji41][emoji41]Tarehe 12 saa 09:38am ilikuwa Klm/jro na saa 09:59am ikawa Zanzibar, je dakika 20 ndege yaweza kufika Zanzibar?
Nijuavyo kutoka Jro to Znz kwa airbus au dreamliner ni dkk 50 to 55 na pangaboi hadi dkk 60, je hizi taarifa zina ukweli?
Kilimanjaro kuna mgodi wa Tanzanite 😳chief kuwa serious basiShinyanga Kuna Migodi na Kilimanjaro Hai Kuna Mgodi wa Tanzanite.
Hufahamu Kilimanjaro International Airport inagusana na Migodi ya Tanzanite?Kilimanjaro kuna mgodi wa Tanzanite 😳chief acha masihara basi
Ohoo ok..Kwa hiyoooo KIA inagusana kabisa na wilaya ya simanjiro mkoa wa Manyara mgodini eee…vizuriHufahamu Kilimanjaro International Airport inagusana na Migodi ya Tanzanite?
Ohoo ok..Kwa hiyoooo KIA inagusana kabisa na wilaya ya simanjiro mkoa wa Manyara mgodini eee…vizuri
Wadanganyika wamekwisha sahau na ndio maana mkwere aliwaambia “” Kelele za mlango hazimyimi usingizi mwenye nyumba “! Wanajua mtapiga mayoweee mwisho mtasahau!Duh huyu Mzee na Mama Sitti kweli walifanya yao ingawa leo watu wanajifanya kusahau...., Nadhani neno Ikulu kuwa Pango la Walanguzi huyu mzee / mama alilitendea Haki
Ndege ni kama yalivyo magari, Kuna namba maalum za kutambua. Na zpo wazihiyo tracker inaonesha wapi kama hiyo ni ndege ya rais na si ndege nyengn?