Ni nani hasa huitumia ndege ya Rais wetu 5H- ONE Gulfstream G550 maana inaonekana ikizurula tu mikoani na kupaki Zanzibar?

Alaf huko shinyanga inatua karibu na mgodi fulan mkubwa
 
Atakuwa mupenzi wa hangaya anakula mabata tu mujini
 
Una hangaika Mzee hadi sio vizuri,kaikodi uwe unabebea dagaa
 
Asante sana kiongozi kwa kutrack ujambazi unaendelea kwa kutumia ndege ya rais, hizo sehemu zina madini ghafi kwahiyo hilo dege linatumika kuyavusha bila kibali na bila bughudha na kuyapeleka Zanzibar, watanzania tuamke kutoka usingizi wa pono.
Idungue tuu mkuu 😄😄😄
 
Mzee usikurupuke, vuta subira kwanza na ufanye utafiti wa kina kuhusu jambo ili kupata ushahidi usio na shaka kuhusu unachokizungumza.

Kwanza hiyo ndege ya Rais aina ya Gulf stream ina uwezo wa kutua viwanja vikubwa na nakumbuka viwanja hivyo vilitajwa kuwa ni pamoja na Uwanja wa Kimataifa wa JN Nyerere, Dar es salaam, Dodoma, Mtwara, Songwe Mbeya, Kilimanjaro, Abeid Aman Karume Zanzibar.

Viwanja vidogo tena km vya Shinyanga, Moshi, Arusha, Bubada ndege hiyo haina uwezo wa kutua.

Pia ndege hiyo ni miongoni mwa ndege zinazomilikiwa na Wakala wa ndege za serikali, ambaye mtu yeyote anaruhusiwa kuzikodi kwa matumizi yake binafsi au ya kampuni yake.

Hivyo kabla ya kutoa tuhuma angejirisha kwanza mwenyewe km kweli ndege anayoiona ni ile ya rais kweli ama ndege ya kukodi ya makampuni mengine binafsi, na kwamba nani walikuwa wanaitumia wakati huo, kwa uchache tu hayo alipaswa kuyazingatia kabla ya kuzoza hewani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…